Hahaha, tatizo unashabikia upuuzi tu, wamekuwa Dar Stock since when? Na wameanza kutuibia lini? Hawa si wameji list baada ya sheria mpya ya madini kuwabana? Nenda shule kasome upya. Tunaongelea wizi uliotokea for years, more than 15 years unaanza kuniambia wako listed hata miaka 3 haijaisha ? Mtoto wewe hauwezi nielewaUmeandika ujinga hapo hata sijasoma wote.
Barrick/ Acacia wako cross listed kwenye Dar stock market.