ACACIA: Makinia Ina Dhahabu 0.3% , Hasara Baada Kusitisha Usafirishaji BIL. 392 Kwanza Miezi 6 Tu

Umeandika ujinga hapo hata sijasoma wote.
Barrick/ Acacia wako cross listed kwenye Dar stock market.
Hahaha, tatizo unashabikia upuuzi tu, wamekuwa Dar Stock since when? Na wameanza kutuibia lini? Hawa si wameji list baada ya sheria mpya ya madini kuwabana? Nenda shule kasome upya. Tunaongelea wizi uliotokea for years, more than 15 years unaanza kuniambia wako listed hata miaka 3 haijaisha ? Mtoto wewe hauwezi nielewa
 
Simply tunataka kumfilisi na kuteka migodi yote wasilete ujinga. Huu sio wakati wa ujinga. Ni wakati wa kupiga kazi. Unazani mzigo ambao wamekuwa wakisafirisha kwa mwezi unathaman gani?!? Sit and think.
"Sit and think". Huyo migodi ni ya nani hadi muiteke?unajua kiasi halisia kilichokuwa kinasafirishwa kwa mwezi na thamani yake?au ww bendera fuata upepo?kamati zimewaingiza chaka wanakijani pamoja na mkulu.mikataba ya madini mliingia wenyewe Leo mnatafuta kiki ya kutokea.Mabepari watawanyoosha tu.
d0fbb204c9eecd6beb82e5fc3f690262.jpg
 
Wasiokubalina na CCM wangekuwa wanakuja na njia mbadala badala ya njia tunazoziona mbovu za CCM,ingependeza.Unatatuaje matatizo kwa kulalamika. Utasikilizwaje kwa ushauri unaoutoa hata ukiwa mzuri mno unaposema "Rais wao" maana unawashauri wasio wa kwenu na Rais si wa kwako,hakuhusu.Kama huyo Rais hakuhusu matatizo ya nchi anayoiongoza yanakuhusuje?

Huyo Rais" tusiyemtaka" kapatikana kwenye sanduku la kura.Huyu ni Rais wa kuchaguliwa kwa njia ya Vyama vingi kwa awamu ya tatu,unadaije upo makini kulalamikia jambo lile lile mara tatu.

Wabunge makini kutoka kwenye Chama chetu makini waliochaguliwa chini ya usimamizi wa tume tusiyoiamini tunakiri ni wabunge wetu,tena walio makini.Walio shinda kupitia upande wa pili japo ni wengi tunawahesabu wote hawana kitu kichwani kama tunavyoamini kwa kiongozi wa nchi.

Kinachonisumbua akili yangu ni mtu anapotoka CCM asubuhi akiwa shetani anapoingia kambi ya upande wa pili kabla ya jioni ya siku hiyo hiyo anakuwa malaika.Kwa jambo hili nikiri akili yangu ni ndogo.

Tusiyemtaka na kukubaliana na hatua anazochukua anafuta tuliyolalamikia siku zote,kwa kuwa hakupitia mlango wetu hatukubali.Kipi bora zaidi Tanzania au Vyama vyetu?
Mkuu hata wewe listening skills yako iko poor hivi? Huwa hawaji na njia mbadala,mfano hukusikia Lissu akishauri tuanze na sheria zetu,then twende kwenye mikataba nk? Je hukuwahi kuwasikia wakisema chanzo cha matatizo yote ya nchi yetu ni katiba inayoweka mfumo mbovu wa uongozi na utawala wa nchi yetu huku ikikataza makaburi kufukuliwa,please kuwa serious usijitoe ufahamu
 
Tatizo hesabu zimekupiga chenga kwahiyo ulivyoona percent ni fraction basi umeona ni ndogo kweli kweli!

FYI, sio 0.3% bali ni 0.02%... ni ndogo kuliko hiyo uliyotaja!!

Sasa turudi kwenye hesabu! Takwimu zinasema kwa mwaka wanasafirisha takribani tani 50,000 za makinikia.

Tani 50,000 = 50,000,000 kg

0.02% ya 50M = 10,000 kg za dhahabu kwa mwaka>>> Kwa miezi 6 = 5,000kg za dhahabu.

Takwimu za leo, 1kg of gold ni takribani $40,400... zidisha mara 5,000 = $202,000,000

Tukichukua exchange rate ya Sh.2000, times 202,000,000 unakuta ni zaidi ya TShs. 400 Billion halafu wewe unashangaa 392Billion!!!!!!!
Excellent.....utafikiri ulipiga pindi kwangu
 
Wasiokubalina na CCM wangekuwa wanakuja na njia mbadala badala ya njia tunazoziona mbovu za CCM,ingependeza.Unatatuaje matatizo kwa kulalamika. Utasikilizwaje kwa ushauri unaoutoa hata ukiwa mzuri mno unaposema "Rais wao" maana unawashauri wasio wa kwenu na Rais si wa kwako,hakuhusu.Kama huyo Rais hakuhusu matatizo ya nchi anayoiongoza yanakuhusuje?

Huyo Rais" tusiyemtaka" kapatikana kwenye sanduku la kura.Huyu ni Rais wa kuchaguliwa kwa njia ya Vyama vingi kwa awamu ya tatu,unadaije upo makini kulalamikia jambo lile lile mara tatu.

Wabunge makini kutoka kwenye Chama chetu makini waliochaguliwa chini ya usimamizi wa tume tusiyoiamini tunakiri ni wabunge wetu,tena walio makini.Walio shinda kupitia upande wa pili japo ni wengi tunawahesabu wote hawana kitu kichwani kama tunavyoamini kwa kiongozi wa nchi.

Kinachonisumbua akili yangu ni mtu anapotoka CCM asubuhi akiwa shetani anapoingia kambi ya upande wa pili kabla ya jioni ya siku hiyo hiyo anakuwa malaika.Kwa jambo hili nikiri akili yangu ni ndogo.

Tusiyemtaka na kukubaliana na hatua anazochukua anafuta tuliyolalamikia siku zote,kwa kuwa hakupitia mlango wetu hatukubali.Kipi bora zaidi Tanzania au Vyama vyetu?
Mkuu ukiona mtu anahangaika na namna mtu alivyowashirisha hoja yake badala ya kuhangaika na hoja yenyewe ujue huyo mtu anashinda,sasa ccm tunahangaika na watu badala ya kuhangaika na hoja,na pale tunapojitahidi kuhangaika na hoja tunaangalie lipi litawakuna wanyonge, unakumbuka issue ya madaktari,ccm tulijificha kwenye "posho" wanyonge wakaitikia wimbo wa posho madaktari wakapuuzwa,nini kiliendelea? Magufuli ndo kaja kununua vitanda Muhimbili,Issue ya katiba mpya baada ya upinzani kususa,wala hatukujiuliza why wenzetu wamesusa,bali tulienda kwa " wanyonge " na kuwambia jamaa wameshachukua posho,wanyonge wakakazana kuwashambulia waliochukua posho wakasahau kuwa hata waliobaki hakuna wanachofanya zaidi ya kutafuna pesa zetu.issue ya juzi ya Lissu, tumejificha kwenye misaada kwa kuwa tukiwaambia "wanyonge" kuwa huyu anataka tunyimwe misaada ili mfe kwa njaa na kwa kuwa wanyonge tukiamka kitu cha kwanza tunafikiria nitakula nini mchana......kwa hiyo hata wangetoa solution bora kiasi gani,kwa kuwa tunaangalia aina ya uwasilishaji,kwa kuwa tunaangalia mtu aliyewasilisha,kwa kuwa tunaangalia hoja nyepesi zinazopendwa na wanyonge,hamna kitakachofanyika
 
Tatizo hesabu zimekupiga chenga kwahiyo ulivyoona percent ni fraction basi umeona ni ndogo kweli kweli!

FYI, sio 0.3% bali ni 0.02%... ni ndogo kuliko hiyo uliyotaja!!

Sasa turudi kwenye hesabu! Takwimu zinasema kwa mwaka wanasafirisha takribani tani 50,000 za makinikia.

Tani 50,000 = 50,000,000 kg

0.02% ya 50M = 10,000 kg za dhahabu kwa mwaka>>> Kwa miezi 6 = 5,000kg za dhahabu.

Takwimu za leo, 1kg of gold ni takribani $40,400... zidisha mara 5,000 = $202,000,000

Tukichukua exchange rate ya Sh.2000, times 202,000,000 unakuta ni zaidi ya TShs. 400 Billion halafu wewe unashangaa 392Billion!!!!!!!
Hii kitu umeandika ni kulingana na 3% ya sheria za zamani au 6% kulingana na sheria mpya za Prof. Kaputi?
 
Hawa ACACIA mlikaa nao mezani,mka negotiate terms mpaka mka sign nao mikataba tena kwa kupiga na makofi.

Mikataba mliotengeneza sisi ndio tuliokuwa tunatakiwa tu dictate terms maana sisi ndio wenye mali..
PIA
Mlichofan ya nyie wenyewe mnajua.. Leo Mwekezaji ghafla kawa mwizi..!!

Sindano imeshaingia tayari kwenye tako, sasa nesi ndio anaanza kuingiza, usitingishe ki mguu, subiri dawa/ POWER SAFE/KRISTAPENI ipenye sawasawa sasaa.
MTU UNAWEZA KUMGUNDUA KUWA KAKUDANGANYA KWENYE MKATABA WAKATI WA UTEKELEZAJI. NA KWELI TULIGUNDUA BAADA YA WAO KULE KWAO WANATANGAZA FAIDA HAPA KWETU WANASEMA HASARA.
 
Then kwenye 400 billion tunachukua yote au huo mrahaba wa 6% kwa sasa?

Hii kitu umeandika ni kulingana na 3% ya sheria za zamani au 6% kulingana na sheria mpya za Prof. Kaputi?
Hapa ngoja nieleze kwa kirefu kidogo manake wengi wanauliza hilo swali! Naeleza kwa kirefu na uhalisia ulivyo though hivi sasa ukielezea uhalisia unaambiwa sio MZALENDO au
unatetea wazungu!!!!

Wazalendo Feki wanadhani Uzalendo ni kuwa Mjinga na Juh'a usiyejua kutofautisha kati ya chuya na mchele!!!

Kwanza kabisa, sio kwamba hiyo 400 Billion yote inaingia mfukoni mwa Acacia! Biashara ya madini sio profitable to that extent!!

Biashara ya madini inaingiza mapato makubwa sana tena sana lakini operative costs nazo ni pasua kichwa! Na ni kutokana na ukweli huo, ndio maana pamoja na sifa yote ya utajiri wa biashara ya madini bado makampuni makubwa ya madini duniani hawamo among top billionaires!

Kule Arusha wafanyabiashara ya madini wanaonekana matajiri simply because nchi yenyewe hii imejaa maskini! Kwa mfano, wafanyabiashara matajiri wa Arusha utakuta labda mtu ana TZS 10 Billion! Kwa USA hiyo ni pesa ya Bloggers/Vlogers tu au wasanii, tena sio Top Artists!!!

Aidha, ni kutokana na ukweli huo ndio maana tangu ile siku Prefesa Orroso aliposema Acacia wanatakiwa kulipa Trillion 108; hapo hapo nilisema wazi kwamba hizi figure ni za kiuendawazimu kwa sababu hakuna kampuni hata moja ya madini duniani yenye utajiri mkubwa namna hiyo!!!

Hata kama ni kwa miaka 17, maana yake kwa mwaka ni takribani Trilion 6.5... na hiyo ni makinikia peke yake! Ukiongeza dhahabu halisi, it's obvious sio chini ya Trillion 15... KODI PEKE YAKE tena kwa migodi miwili tu (inayozalisha makinikia). Kama kwa mwaka migodi miwili wangelipa angalau Trillion 15, hawa net profit kwa mwaka wangekuwa wanaingiza at least Trillion 25 kwa migodi miwili tu!!! Ukichanganya na ile mingine miwili isiyozalisha makinikia, basi tuseme kwa mwaka wangekuwa wanatengeneza faida ya angalau Trillion 30 Tanzania peke yake!

Wangekuwa na ubavu huo, akina Bill Gates wasingekuwa ndio Top Billionaires!!!!! Simple logic!

Now back to 400 Billion! Hayo ni mapato ghafi ambayo Acacia wangeingiza endapo makinikia yangeuzwa! Lakini hapo kuna gharama lukuki zilizoleta hayo makinikia yenye thamani ya 400B! Hiyo 400 Billion (or $$ equivalent) ndiyo ingesoma kwenye Income Statement ya Acacia.

So said, lugha halisi inayopaswa kutumika sio kwamba wamepata hasara ya 400B bali wamepoteza mapato ya 400B... na hiki ndicho hata wenyewe walichosema!

Suala la Mrabaha gani utatumika itategemea sheria imeanza rasmi lini! Lakini kwavile sheria yenyewe imepitishwa juzi tu hapa, I believe mrabaha ambao ungetumika ni 4%.

Sasa ukitoa hizo gharama, including huo MRABAHA na kodi zingine, kinachobaki ndiyo pesa ya Acacia.
 
Hawa ACACIA mlikaa nao mezani,mka negotiate terms mpaka mka sign nao mikataba tena kwa kupiga na makofi.

Mikataba mliotengeneza sisi ndio tuliokuwa tunatakiwa tu dictate terms maana sisi ndio wenye mali..

Mlichofanya nyie wenyewe mnajua.. Leo Mwekezaji ghafla kawa mwizi..!!

Sindano imeshaingia tayari kwenye tako, sasa nesi ndio anaanza kuingiza, usitingishe ki mguu, subiri dawa/ POWER SAFE/KRISTAPENI ipenye sawasawa sasaa.
Watanzania hatujui Definition ya mwizi tehe tehe tehe
 
Hapa ngoja nieleze kwa kirefu kidogo manake wengi wanauliza hilo swali! Naeleza kwa kirefu na uhalisia ulivyo though hivi sasa ukielezea uhalisia unaambiwa sio MZALENDO au unatetea wazungu!!!!

Kwanza kabisa, sio kwamba hiyo 400 Billion yote inaingia mfukoni mwa Acacia! Bishara ya madini sio profitable to that extent!!

Biashara ya madini inaingiza mapato makubwa sana tena sana lakini operative costs nazo ni pasua kichwa! Na ni kutokana na ukweli huo, ndio maana pamoja na sifa yote ya utajiri wa biashara ya madini bado makampuni makubwa ya madini duniani hawamo among top billionaires!

Kule Arusha wafanyabiashara ya madini wanaonekana matajiri simply because nchi yenyewe hii imejaa maskini! Kwa mfano, wafanyabiashara matajiri wa Arusha utakuta labda mtu ana TZS 10 Billion! Kwa USA hiyo ni pesa ya Bloggers/Vlogers tu au wasanii, tena sio Top Artists!!!

Aidha, ni kutokana na ukweli huo ndio maana tangu ile siku Prefesa Orroso aliposema Acacia wanatakiwa kulipa Trillion 108; hapo hapo nilisema wazi kwamba hizi figure ni za kiuendawazimu kwa sababu hakuna kampuni hata moja ya madini duniani yenye utajiri mkubwa namna hiyo!!!

Hata kama ni kwa miaka 17, maana yake kwa mwaka ni takribani Trilion 6.5... na hiyo ni makinikia peke yake! Ukiongeza dhahabu halisi, it's obvious sio chini ya Trillion 15... KODI PEKE YAKE tena kwa migodi miwili tu (inayozalisha makinikia). Kama kwa mwaka migodi miwili wangelipa angalau Trillion 15, hawa net profit kwa mwaka wangekuwa wanaingiza at least Trillion 25 kwa migodi miwili tu!!! Ukichanganya na ile mingine miwili isiyozalisha makinikia, basi tuseme kwa mwaka wangekuwa wanatengeneza faida ya angalau Trillion 30 Tanzania peke yake!

Wangekuwa na ubavu huo, akina Bill Gates wasingekuwa ndio Top Billionaires!!!!! Simple logic!

Now back to 400 Billion! Hayo ni mapato ghafi ambayo Acacia wangeingiza endapo makinikia yangeuzwa! Lakini hapo kuna gharama lukuki zilizoleta hayo makinikia yenye thamani ya 400B! Hiyo 400 Billion (or $$ equivalent) ndiyo ingesoma kwenye Income Statement ya Acacia.

So said, lugha halisi inayopaswa kutumika sio kwamba wamepata hasara ya 400B bali wamepoteza mapato ya 400B... na hiki ndicho hata wenyewe walichosema!

Suala la Mrabaha gani utatumika itategemea sheria imeanza rasmi lini! Lakini kwavile sheria yenyewe imepitishwa juzi tu hapa, I believe mrabaha ambao ungetumika ni 4%.

Sasa ukitoa hizo gharama, including huo MRABAHA na kodi zingine, kinachobaki ndiyo pesa ya Acacia.

well said
Kiasi cha Acacia kama acacia should be after all other deductions
And as if tunauwezo wa kuya process hayo makinikia sasa kwa jinsi tunavyoyang'ang'ania
Magu kaingia cha kike, tena yeye na kamati yake nahisi walipata F ya hesabu si kwa figures hizi za kuchanganya watu
 
We bhana eh!! Kuna siku hapa nilisema wazi kwamba, ikiwa smelting ya hiyo copper concentrates ni cheap kiasi hicho (manake wanabisha hata gharama za smelters) and we can make billions of $$$ from it, kwanini basi serikali isiwekeze yenyewe kwenye such cheap investment with super return!!!! Manake the way wanavyoongea, unaweza kuamini zile bilioni 260 za Bombadiers zingeweza kujenga smelters hata 50!!!!!!
 
Mtoa mada kunywa Maji kiasi!

Korrupt people like Korrupt Leader
 
Back
Top Bottom