ACACIA: Makinia Ina Dhahabu 0.3% , Hasara Baada Kusitisha Usafirishaji BIL. 392 Kwanza Miezi 6 Tu

mhuuu, uongo mwingine jaman, hv ukiwa unapoteza USD 1m kila siku baada ya miezi 6 utakuwa umepoteza 392B? We kwel mahaba na kijan yamekuzid sn, hebu tupe source ya hicho ulichoandika.
Ni hivyo mkuu wew ndio hujui
 
The mining companies and most recognised multinational companies in Tanzania are legally structured using incredibly complex webs and connections, including the use of offshore offices in a country like Canada, Uk that will then receive profits earned in another country like ours. Why do multinational companies refuse to register in Dar Stock? Simply, to help them pay less.

This means they can claim a deduction against the debt and lower their taxable income, the same way a deduction works on individual tax. When their income is shifted offshore so it looks like they are not earning as much as their actual numbers in a country like Tanzania where corruption is rampant and monitoring systems are weak, this gives them an extra advantage to pay less tax. It requres more than 10 lecture hours to put your mind at ease. Utakuwa umesoma vyuo vilivyofutwa na TCU recently.

Labda tu nikuulize kwanini Barrick kwa miaka mingi alikuwa anasema anapata hasara wakati anatoa dividends kwa shareholders? Au haujui? Haujui kwamba tulimshtaki na akatulipa? Yani kwakweli it requires an average IQ to comprehend how things work in a corporate world. With your rudimentary knowledge of things, i suggest you join most of the loud mouth members in jf who doesnt know how the world works.
acha kupotosha,alishatika ndio,hilo deni kalipa lini mzee?haijalipwa hata mia,kesi iko mahakamani paka leo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure! Hesabu zao are sensible than those of TRA's. Kwa hesabu hizo ni roughly 800bn/- kwa mwaka. Kwa miaka 17 bila kujali kiwango cha miaka ya kwanza ya uwekezaji ni 13.6tr/-. Duh; sasa nyie wazee mnawatoza kodi 424/- tr kwa kipindi hicho hicho hata mwendawazimu anawashangaa.
Mkuu, tena hiyo trilioni 13.6 ni kama kusema wao wachimbe, wachukue dhahabu inayopatikana moja kwa moja kwa CIL na gravity, then kwa gharama zao wafanye flotation na kupata hiyo copper concentrate, alafu wakupakilie kwenye containers na kukufikishia bandarini. Then wao walipe kodi za ile dhahabu waliyopata kule migodini, alafu wewe wakukabidhi hayo makontena ya copper concentrates bure, uyauze na fedha yote uchukue wewe.....kwa miaka 17 ndio utapata shs trilioni 13.6.
Sasa shangaa TRA wao wanadai kuna kiasi hakikuwa correctly declared, kingelipiwa kodi sahihi ingepatikana dola bilioni 40 (zaidi ya shs trilioni 88) na interest na penaties zake ni dola bilioni 150 (zaidi ya shs trilioni 330) na kuleta jumla ya dola bilioni 190 (zaidi ya shs trilioni 418).
Hii ni akili au matope??
 
Kwa hiyo malipo ya 6% ni mpaka wafanye biashara si eti?

Na biashara hawajafanya huku wakiendelea kupata hasara!

Sipendi mazingira yoyote yatakayosababisha nikose Noah.
Mkuu, na hili watu wanajifanya hawalioni. Wanazungumzia hasara anayopata Acacia kwa kutouza makinikia yake kwa miezi sita sasa, lakini wanasahau kuwa na sisi tunakosa hiyo 6% mpya plus ile 1% mpya ya ukaguzi. Kiufupi tunakosa 7%. Na hii 7% hulipwa kabla ya mzigo kupanda meli (na ndege kwa upande wa gold bars/dorès).
Kitu kingine ambacho wengi hawakifahamu ni kuwa hii 7% hukokotolewa kwenye thamani ya mauzo (revenue) na sio kwenye profit. Yani hata kama mwezi husika mchimbaji kaoperate kwa hasara, serikali inalamba hiyo 7% yake....hata ikiwa mchimbaji anapata hasara kwa mwaka mzima...
 
no ni 5% unaongeza 1% ya ukaguzi,tumeshakosa 20billion + kama royalities kama nchi toka hili saga limeanza,tulitakiwa tuwabane kwenye 6% wakati mazungumzo yanaendelea na mzigo wa royalities unaingia kote kote,saiz tunapata 6% kwenye dore tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kupotosha,alishatika ndio,hilo deni kalipa lini mzee?haijalipwa hata mia,kesi iko mahakamani paka leo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you for your additional information. Ila kama mnatetea wazungu wateteeni. Walitunyonya kipindi cha ukoloni na wakapata watetezi sishangai sasa kama wamepata watetezi tena. Ni asili ya mwafrika kujiona inferior.
 
Hii kitu umeandika ni kulingana na 3% ya sheria za zamani au 6% kulingana na sheria mpya za Prof. Kaputi?
Labda na mimi nichangie hapo kidogo.
Ni hivi: Uchimbaji wa madini Bulyanhulu na Buzwagi ni tofauti kidogo na migodi mingine ya dhahabu kama Geita Gold Mine na North Mara. Buzwagi na Bulyanhulu hawapati dhahabu yote kwa njia za kawaida maarufu kama CIL (carbon-in-leach) na gravity. Hivyo hulazimika kuchenjua dhahabu nyingine isiyoweza kuchenjuliwa hapo migodini kwao kwa kusafirisha mchanga wenye dhahabu almaarufu kama makinikia kwenda nje kwa ajili ya smelting. Kwenye mchanga huo kiasi kikubwa kilichomo huwa ni shaba (copper). Dhahabu na fedha vinakuwepo kidogo ukilinganisha na shaba. Na ndio maana makinikia huitwa copper concentrates.
Sasa kabala hujapata huo mchana wa dhahabu lazima utenganishe na makapi. Hiyo ndiyo concentration process yenyewe. Sasa baada ya process hiyo, Acacia wanadai kuwa kiwastani mchanga wao huwa unakuwa na dhahabu yenye concentration ya kiasi cha 0.02%. Silver nayo kwa kiwango kama hicho na copper ndiyo nyingi....kiasi cha hadi 20%. Ila kwa vile katika madini yote hayo ya aina tatu dhahabu ndiyo yenye thamani kubwa, basi thamani ya mchanga wote wa tani 15 ulio kwenye kontena hubebwa na bei ya dhahabu. Mfano, katika kontena moja la tani 15 la makinikia, Acacia wanadai linaweza kutoa kilo 3 za dhahabu zenye thamani ya hadi shs milioni 250,000 ukilinganisha na shaba iliyomo ya kiasi cha kilo 3,000 (yani mara 1000 ya dhahabu) lakini yenye thamani isiyozidi shs milioni 42.
Sasa tukirudi kwenye hayo mahesabu ya mkuu chige:
Kama concentration ya dhahabu kwenye kila container ni 0.02%, then kuna kilo 10,000 za dhahabu katika tani 50,000 za makinikia zinazosafirishwa kwa mwaka kwa wastani (yani kama kontena 277 ni kwa mwezi, basi kwa mwaka ni kama kintena 3,324 na kama kila kontena lina uzito wa tani 15 mpaka 20 basi unapata jumla ya kati ya tani 49,860 mpaka 66,480).
Hivyo kwa miezi sita inakuwa nusu ya mwaka sawa na kilo 5,000. Kama bei ni dola 40,400 kwa leo basi jumla ya thamani ya kilo 5,000 ni dola milioni 202 sawa na zaidi ya shs bilioni 400. Hii ni fedha ambayo Acacia wamehindwa kuingiza toka makinikia yazuiwe kusafirishwa. Na serikali hapo imekosa royalty yake ya 4% ambayo kwa sasa ni 6% plus 1% ya ukaguzi ambayo japo Acacia na wengine wenye mikataba tayari haiwahusu ingawa Acacia walikubaki kuilipa kuanzia July mosi 207
 
Thank you for your additional information. Ila kama mnatetea wazungu wateteeni. Walitunyonya kipindi cha ukoloni na wakapata watetezi sishangai sasa kama wamepata watetezi tena. Ni asili ya mwafrika kujiona inferior.
mkuu unaninukuu vibaya,sijatetea mtu,i just want to be realistic,tukilipwa mtoto wangu pia atafaidika na huo mgao,ishu yangu ni moja tu,tusiweke ushabiki mbele tuende mdogo mdogo na namba zilizo za kweli ili tusionekane mabogus,tukaonekana watz wote hatujaenda shule,tujihoji kwanza wenyewe,is this assessmnt inauhalisia au tunataka kufurahishana tu kwa kipindi hiki,tuweke figure ambazo tunaamini kweli hizi tumeibiwa na tunaclaim zilipwe sio porojo mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
no ni 5% unaongeza 1% ya ukaguzi,tumeshakosa 20billion + kama royalities kama nchi toka hili saga limeanza,tulitakiwa tuwabane kwenye 6% wakati mazungumzo yanaendelea na mzigo wa royalities unaingia kote kote,saiz tunapata 6% kwenye dore tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu check sources zako vizuri. New royalty rate ni 6% of anticipated revenue. Clearing Fee on exports of minerals ni 1%. So jumla ili upate kibali cha kusafirisha madini lazima 7% ya expected revenue ilipwe in advance.
Acacia na GGM na wengine waliokuwepo before kutugwa kwa sheria mpya hawakulazimishwa kisheria kutii hizi rates mpya maana mikataba yao haikuziweka hivi. Wao walisaini 3%. Then baada ya sakata la kuanzishea kwa Buzwagi 2007 JK aliwaomba wakaongeza mpaka 4%.
Acacia walikubali kwa kutoa press release kuwa watalipa viwango hivi vipya kwa sasa wakati bado wanatafakari hali ya uwekezaji wao hapa nchini na kuepuka migogoro zaidi ilikwisha kuwaathiri kwenye masoki ya mitajina hisa. GGM waligoma na wameshatoa notice ya kwenda wenye arbitration.
 
Third world mngekuwa mnajua business angalau mngekuwa mnatutoa huko karibu na kijambio tuende angalau second world.

Lakini mpaka tunazeeka bado tuko third world tu!

Thamani ya maneno yenyu hatuioni.

Ongezeni umakini tusikose Noah.
Mimi wito wangu ni kuwa tuungane kudai Noah

Do you have confidence ?
 
Mkuu check sources zako vizuri. New royalty rate ni 6% of anticipated revenue. Clearing Fee on exports of minerals ni 1%. So jumla ili upate kibali cha kusafirisha madini lazima 7% ya expected revenue ilipwe in advance.
Acacia na GGM na wengine waliokuwepo before kutugwa kwa sheria mpya hawakulazimishwa kisheria kutii hizi rates mpya maana mikataba yao haikuziweka hivi. Wao walisaini 3%. Then baada ya sakata la kuanzishea kwa Buzwagi 2007 JK aliwaomba wakaongeza mpaka 4%.
Acacia walikubali kwa kutoa press release kuwa watalipa viwango hivi vipya kwa sasa wakati bado wanatafakari hali ya uwekezaji wao hapa nchini na kuepuka migogoro zaidi ilikwisha kuwaathiri kwenye masoki ya mitajina hisa. GGM waligoma na wameshatoa notice ya kwenda wenye arbitration.
yaaah sure nimecheki hapa 7%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mambo yanayoongelewa hapa ni maajabu!
Mimi frankly speaking mwanzo nilizani tunamchokoa tu kidogo ili atupe hela kidogo maisha yaendelee kwasababu kiukweli mrahaba wanaolipa ni kidogo mno.Na wao wanajua.Brad Gordon amewahi kuliongelea hili , google, 'the industry can be its own worst enemy- Brad Gordon '

Unajua ni kweli kama nchi tuliingia hii mikataba kimakosa, ni kama mtu unakuwa na shida ya kuuguliwa halafu unatafuta mteja wa kiwanja kwa haraka unakosa.Unakipunguza bei ili ukatatue shida yako.
Sasa ukitatua shida na kama uliyemuuzia ni muungwana , unamuomba mkae chini muongee akuongezee hela kidogo maisha yaendelee.

Tulipaswa kutafuta good negotiating strategy ili Barrick / Acacia watupe hela kidogo ya kuendeshea nchi .
Tatizo, we have made a meal out of it , ridiculous figures!

Na kamchezo ketu kamekuwa kakijinga mpaka tunataka kujidanganya na sisi wenyewe!
We are hurting these guys financially kitu ambacho hatukupaswa kufanya.
Kuwapa bill 60 times their initial investment ni kuwatumia ujumbe kuwa tunataka kuwafilisi!
Hii sio position nzuri ya kufanyia mazungumzo. When you are playing brinkmanship for a long time, there is actually a risk you could fall over the brink!

We want too much and there is no way we can get it !
Wazungu wako very calculated, wanajua uzito wa wao kusema 'tunaweza kufunga mgodi'. Statement hii sio nzuri Kwenye soko la hisa na hakuna mtu anataka kutumia bunduki yake kujilenga Kwenye kidole.

Inaweza kuwa kweli wanaconsider closure and settlements!
Hii ni mbaya kwetu kwakuwa tumepiga kelele mpaka dunia imetusikia na ni kelele za uongo.
Image yao imeshaharibika kwa vyovyote vile na wao kurupa hela kidogo kama 10 au 20 mil usd bado ni risk .Magufuli alivyo anaweza sema walitaka kumhonga and it go very wrong!

The best way kwa Barrick kwa hali ilipofikia ni angalau temporary closure and settlements.
Ikiwa hivi hatupati hata mia mbovu na tutalipa hasara!
Logic ni ndogo tunata kuvunja mkataba, so kuwapa Bill kubwa ni sababu tu wakatae kulipa tuitaifishe.
Hakuna sehemu yoyote duniani kampuni yoyote inaweza lipa hiyo hela

Do you have confidence ?
 
ACACIA walisema Dhahabu ni 0.3% tu, leo wanalia wamepoteza 80% ya their Business Tsh. 392B in 6 Months tu! Imagine17 year
Hawa ni Majambazi siyo Kampuni ya kuchimba Madini
Kaka wapgaji alafu nashangaa watetezi wao wanaonekana mashujaa. ..pesa haijawah kuwaacha watu salama. .hawa jamaa inaonyesha walitembeza Rushwa kuzuia mswada bungen sasa walipokwama wanaendelea kuwapa rushwa ili wabweke huku nje kama mbwa waoga ila...inabidi wabadilike kisaikolojia JPM kashasema NO na ni NO...kama maknkia yalikua hayawap faida hasara inatoka wapi...Corrupt company ambayo inatumia nguvu kucorrupt politcian
 
ACACIA walisema Dhahabu ni 0.3% tu, leo wanalia wamepoteza 80% ya their Business Tsh. 392B in 6 Months tu! Imagine17 year
Hawa ni Majambazi siyo Kampuni ya kuchimba Madini
Hasara si mpaka ulinganishe kilichomo ndani ya mzigo tu Bali ni hela iliyomo ingezunguka mara ngapi na kutoa faida ulio ikusudia kwa Muda na wakati maalum
 
Back
Top Bottom