Vipi Afande Sele ameshindwa kuokoa jahazi????
Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao ni makada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee

Nyie CCM ni vipi mnashindwa kujua kuwa watu wengi wanapenda pesa lakini sio CCM? subirini 2015
Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao ni makada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee
Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao ni makada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee
Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao ni makada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee
Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao nimakada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee
Siasa na mziki ziko tafauti sana,
1. Mahafali + ya kuwakaribisha + mwaka wa kwanza
2. Makada wa ccm+wanapokelewa+wakitokea Chadema.
Hii Chemistry ni ya kipekee duniani
Vipi Afande Sele ameshindwa kuokoa jahazi????
Ni makada wa CCM walikuwa wanapokewa halafu haohao wakapokewa kutoka CHADEMA. Duh!