Abood avuna wanachama 30 wa chadema

Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao ni makada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee

kulalalalalalalaaaaaake watz kukomboka ni shda sana... SIAMINI ULIYEANDIKA HAYA KAMA MTZ akili yako ni fupi kama ya zitto......
 
Nyie CCM ni vipi mnashindwa kujua kuwa watu wengi wanapenda pesa lakini sio CCM? subirini 2015
2015 nadhani hali itakuwa mbaya sana cdm. watu wameelewa sasa nyie mnasingizia kuibiwa kumbe watu wamefanya maamuzi
 
Back
Top Bottom