Abood avuna wanachama 30 wa chadema

Chimunu

Senior Member
Mar 4, 2013
159
25
Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao ni makada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee
 
Nyie CCM ni vipi mnashindwa kujua kuwa watu wengi wanapenda pesa lakini sio CCM? subirini 2015
 
Hapo ccm mmejitia kidole. Wana shida na pesa za matumizi lakini roho zao mbali na chama cha majizi
 
Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao ni makada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee

Na bado, hizi zilikuwa ni mvua za rasha rasha tu. Wataendelea kuchapana bakora, na Che Che M watawavuna kirahisi.
 
Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao ni makada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee

Mahafali ya kukaribisha mwaka wa kwanza??!?!???
 
wewe mlugulu Chimunu, unainamishwa na Abood. ndo maana mnatawaliwa bado na waarabhu. mbona hicho kitu hakipo kabisa na ni uzushi tu!!

Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao ni makada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee
 
Hizi ni habari za upotoshaji za huhu chimunu. Naomba msipost tena hapa. kwanza tunaacha kupanda mibasi yake kuanzia leo.
 
Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao ni makada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee

Duh! Hayo mahafali yakoje?
 
Ktk mahafali ya kuwakaribisha mwaka wakwanza ambao nimakada wa ccm ktk vyuo vikuu hapa morogoro mbunge amepata kupokea wanachama kutoka chadema ambao wanasema wamechoshwa na siasa za kikanda na kidini zinazoendeshwa na mbowe na dr. Slaa
ccm oyeeee

Ni makada wa CCM walikuwa wanapokewa halafu haohao wakapokewa kutoka CHADEMA. Duh!
 
1. Mahafali + ya kuwakaribisha + mwaka wa kwanza

2. Makada wa ccm+wanapokelewa+wakitokea Chadema.

Hii Chemistry ni ya kipekee duniani
 
Vipi Afande Sele ameshindwa kuokoa jahazi????

hana uwezo huo uyo labda bangi
maana makada ambao wamerudisha kadi walikuwa ni viongozi wa chadema mfano isac newton chamkongo alikuwa mwenyekiti wa chadema jordan wapo pia toka mzumbe ila kwa majina sijayakamata ila hali ndo ivo
 
Back
Top Bottom