Leo dereva wetu kwa kinywa chake amekiri anatusikia! amesema "ukiwa unaendesha roli na umebeba watu, kuna watakaoangalia mbele, kuna watakaongalia ubavuni (nadhani alitaka kusema pembeni si mnajua kiswahili cha dereva wetu?) na wengine wataangalia mbele. Kama umebeba wasukuma wataenda wanaimba"
Akaongeza "mimi ni dereva mzuri sitakiwi kujali watu wamekaaje na wanaangalia wapi. Nachowaakikishia roli la maendeleo nitalifikisha kwenye maendele"
KUMBE! dereva wetu anasikia? tulidhani amefunga vioo kwa sababu ya upepo na kelele za magari mengine. Au labda kelele zetu zimekuwa nyingi akaweka headphone ili a-concentrate na usukani. Kumbe anasikia?
TUPAZE SAUTI: tumwambie huku nyumba utingo wake wanapoteza abiria kwa kuwashusha kwenye gari na htujui wako wapi? wengine wanashushwa na kurejeshwa wakiwa hoi kwa majeraha. Tumwambie ile amri yake ya kumkosoa dereva mpaka tufike safari tunayokwenda haitekelezeki. Tumwambie kwamba yule KONDA wake mmoja anavamia mabegi ya abiria na kuchukua frash za abiria nk.
Matokeo ya abiria kutopiga kelele dereva alibaki na wale aliyokaa nao mbele amba wanaogopa kupiga kelele, wanaogopa kumshauri na dalili za roli kuanza kuacha njia ziko wazi.