Source: WiA Group - Management
Abdulrahman Kinana
Chairperson of the Board of Directors
Abdulrahman Kinana is one of the founding principals and the Chairman of The WiA Group.
Previously Abdulrahman Kinana served as a member of the Tanzanian Parliament for the Arusha region for two terms from 1985-1995. He went on to become the Deputy Minister of Defense and National Service from 1985-1990 and thereafter he became the Deputy Minister of Foreign Affairs and International Cooperation from 1990-1991. He was then appointed Speaker of the East African Legislative Assembly 2001-2006.
Abdulrahman Kinana has been active in several industries and has chaired several major companies including Diamond Shipping, Coastal Development, Tanzania Pharmaceuticals and Meditech Industries. Abdulrahman Kinana is also a member of several boards such as Alexander Forbes Tanzania and Artumas Energy Tanzania Ltd.
Abdulrahman Kinana is currently the Chairman of both The WiA Group and WiA Company Ltd. He is also a member of the two most powerful executive wings of the ruling party the National Executive Committee and the Central Committee.
Abdulrahman Kinana holds a Bachelor Degree in Political Science and International Relations from the Ljubiliana University in Yugoslavia and a Masters in Management and Public Administration from Harvard University in the United States.
3. Sina uhakika kama kazaliwa Tanzania lakini alienda sekondari ya Old Moshi na Lowassa na matokeo yake ya Form Four alipata Division 0.
KINANA ndiye wakala wa AL Shabab ya Somalia hapa nchini. Anatumia wadhifa wake ndani ya CCM kusafisha fedha chafu za makundi mbali mbali yanayohusika na utekaji nyara wa meli za mizigo katika Ghuba ya Somalia. Fedha hizo kwa mamilioni ya Dola za Kimarekani hulipwa na wenye meli ili meli zao na shehena za mizigo iliyobeba zipate kuachiwa (RANSOM). KINANA ndiye wakala wa kusimamia uwekezaji wa fedha hizo hapa nchini katika katika miradi mbali mbali ikiwemo mahoteli kama vile PARADISE,TANSOMA (TANZANIA SOMALIA); Uchimbaji wa madini; VIWANDA KADHAA N.K.
NI FISADI MKUBWA SANA, ILI KUJENGA MTANDAO WA UTAKAJI MAELI KULE KWAO SOMALIA ALIITUMIA SERIKALI YA CCM NA BAADHI YA MAWAZIRI KUUA SHIRIKA LA UMMA NASACO LILILOKUWA LIKIFANYA UWAKALA WA BIASHARA YA MAELI HAPA NCHINI KUTOKANA NA UNYETI WAKE KWA USALAMA WA TAIAFA NA KIMATAIFA. NA YEYE NDIYE ANAHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MAELI ILIYOKUWA IMESHIKWA NA NASACO KAMPUNI YA UMMA. nI KWA KUTUMIA KUHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MELI KATIKA AFRIKA MASHARIKI NA KATI IKIWEMO TANZANIA, KENYA, SOMALIA N.K HIVYO KUPITIA KWAKE NDUGU ZAKE WA KISOMALI HUPATA RATIBA NA KUFAHAMU SHEHENA YA MIZIGO ILIYOBEBWA NA MELI MBALI MBALI NA KUZIWEKEA MITEGO YA KUZITEKA NYARA KATIKA GHUBA YA SOMALIA ILI KULIPWA FEDHA KUZIACHIA.
UJIRA WA MASKKINI WA KISOMALI WANAOTUMIKA KUFANIKISHA UTAKAJI NYARA MELI NI KUVUSHWA KUTOKA SOMALIA KWENDA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA KIPINDI FULANI CHA UTEKAJI NYARA MELI WENYE MAFANIKIO. HIVYO KINANA NDIO HUSIMAMIA MTANDAO WA KUWAVUSHA WASOMALI KUPITIA KENYA, TANZANIA, MALAWI N.K HADI AFRIKA YA KUSINI KWA KUTUMIA FEDHA ZITOKANAZO NA UTEKAJI NYARA MELI KUWAHOINGA MAAFISA UHAMIAJI, POILIS N.K ILI KUWAVUSHA WATEKAJI NYARA MELI WAKE .
CCM NI MAFISADI TUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Huyu Kadogoo kama kweli anamjua Kinana atuambie baba yake aliitwa nani kama sio Sheikh na ni mwarabu. Mama yake ni msomali. Na atusadie kutambia hili jina Kinana alipataje. Kama sio E Sokoinne alimuingiza kwenye siasa toka jeshini?? Tueleze ukweli.Toka Jeshini hakupelekwa Yugoslavia kama Political Commissar? Labda unaweza kutusaidia uhusiano wake na wale warabuu wa Loliondo (wawindaji) na hayo magari yao yalikuwa kwake Masaki.
Kama wa JF kweli wakitaka kuifuata history yake na utajiri wake ya wizi itawabidi waende kule UK kuhesabu nyumba zake na nani anakaa humo.
Na nikiendelea mtashangaa.
AISEE! Yaani naogopa hata kuamini. Huyu ndio meneja wa kampeni ya chama chetu "kitukufu"? isije kuwa fedha za utekaji nyara zinatumika kugharamia kampeni ya kutushawishi kuwachagua tena. Kwa vile jambo hili liko hadharani sasa, wanaohusika wafanye linalipaswa maana kama Al Shabab wana wakala hapa TZ tusishangae siku moja yaliyotokea Kampala yakajitokeza hapa tukabaki tunajilaumu kwa tabia yetu ya kupuuzia mambo. AshughulikiweKINANA ndiye wakala wa AL Shabab ya Somalia hapa nchini. Anatumia wadhifa wake ndani ya CCM kusafisha fedha chafu za makundi mbali mbali yanayohusika na utekaji nyara wa meli za mizigo katika Ghuba ya Somalia. Fedha hizo kwa mamilioni ya Dola za Kimarekani hulipwa na wenye meli ili meli zao na shehena za mizigo iliyobeba zipate kuachiwa (RANSOM). KINANA ndiye wakala wa kusimamia uwekezaji wa fedha hizo hapa nchini katika katika miradi mbali mbali ikiwemo mahoteli kama vile PARADISE,TANSOMA (TANZANIA SOMALIA); Uchimbaji wa madini; VIWANDA KADHAA N.K.
NI FISADI MKUBWA SANA, ILI KUJENGA MTANDAO WA UTAKAJI MAELI KULE KWAO SOMALIA ALIITUMIA SERIKALI YA CCM NA BAADHI YA MAWAZIRI KUUA SHIRIKA LA UMMA NASACO LILILOKUWA LIKIFANYA UWAKALA WA BIASHARA YA MAELI HAPA NCHINI KUTOKANA NA UNYETI WAKE KWA USALAMA WA TAIAFA NA KIMATAIFA. NA YEYE NDIYE ANAHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MAELI ILIYOKUWA IMESHIKWA NA NASACO KAMPUNI YA UMMA. nI KWA KUTUMIA KUHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MELI KATIKA AFRIKA MASHARIKI NA KATI IKIWEMO TANZANIA, KENYA, SOMALIA N.K HIVYO KUPITIA KWAKE NDUGU ZAKE WA KISOMALI HUPATA RATIBA NA KUFAHAMU SHEHENA YA MIZIGO ILIYOBEBWA NA MELI MBALI MBALI NA KUZIWEKEA MITEGO YA KUZITEKA NYARA KATIKA GHUBA YA SOMALIA ILI KULIPWA FEDHA KUZIACHIA.
UJIRA WA MASKKINI WA KISOMALI WANAOTUMIKA KUFANIKISHA UTAKAJI NYARA MELI NI KUVUSHWA KUTOKA SOMALIA KWENDA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA KIPINDI FULANI CHA UTEKAJI NYARA MELI WENYE MAFANIKIO. HIVYO KINANA NDIO HUSIMAMIA MTANDAO WA KUWAVUSHA WASOMALI KUPITIA KENYA, TANZANIA, MALAWI N.K HADI AFRIKA YA KUSINI KWA KUTUMIA FEDHA ZITOKANAZO NA UTEKAJI NYARA MELI KUWAHOINGA MAAFISA UHAMIAJI, POILIS N.K ILI KUWAVUSHA WATEKAJI NYARA MELI WAKE .
CCM NI MAFISADI TUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Asante, nitatfuta thread yake. Tanzania tu watu wa ajabu sana; tunakubali kutawaliwa na wageni kinyume cha sheria kwa kirahisi sana.
Kwenye gazeti lipi na lini alitangaza kuwa kautema uraia wa somalia???? Tafadhali mwenye kumbukumbu za nakala za gazeti la serikali plz atujuze.Hivi alisha ukana uraia wake wa zamani?
Duh! Yaani jamaa alizungusha form four halafu akaenda kuchukua Master's Harvard? Wow...
wala sio pesa ki hivyo wanakwenda kama international students, wala hawahitaji criterias za home students kupata nafasi. Si ajabu kama ni mambumbu ubaki hivyo hivyo tu kama gavana wetu.duh kweli hi ni kali, inaonekana pesa na umaarufu vinasaidia sana.
Hivi hapa munajadili nini? Huyu Kinana ni Kada wa CCM na alishawahi kushika nyadhifa mbalimbali ktk nchi yetu wala huko nyuma wakati wa utawala wa Mwalimu, Kinana hakuwahi kujadiliwa uraia wake ila ktk kipindi cha Mwinyi na huyu mwendawazimu aliyekuwa wakati huo Waziri wa mambo ya ndani Augustine Mrema!
Huyu Mrema alikuwa na rafiki yake aliyetaka kugombea ubunge wa arusha lakini tishio lilikuwa ni Abdurahmani kinana aliyekuwa mbunge wa muda mrefu huko Arusha na kwa kweli alikuwa akipendwa sana na wananchi wa Arusha Mjini, ndipo huyu Mwendawazimu Mrema kwa kutumia wadhifa wake huo akachomowa faili la uraia la Kinana ktk uhamiaji na kupayuka kuwa Kinana hawezi kugombea ubunge wa arusha mjini ati kwa sababu uraia wake unautata!
Sasa na nyinyi humu bado munaendeleza majungu yaleyale yaliyopitwa na wakati? yaani badala ya kujadili mambo muhimu yanayotukera leo kama vile ujinga, maradhi, njaa, shida ya umeme, barabara mbovu, rushwa,ukabila, udini, ujambazi, mauwaji, uongozi mbovu, umasikini, nk. tunamjadili Kinana kama ni raia au si raia? sasa mumevuka mpaka maana munataka kuingilia kazi za uhamiaji!
Kama hamumjui Kinana basi mimi namjuwa vizuri sana, mtaa na hospitali aliyozaliwa, Baba yake na mama ake wote ni wa TZ sasa kama nyinyi munaushahidi kuwa Kinana si raia basi thibitisheni hilo ili uhamiaji waweze kumshugulikia! lakini hilo haliwezekani kwani yeye ni kada damu wa CCM labda ajiunge na upinzani!
Kama munadai Kinana si raia ati kwa sababu asili yake ni usomali basi mbona wengi wetu hatutakuwa raia kwani asili zetu wengi ni kutoka nchi mbalimbali kama vile Malawi, Zaire, Kenya, Uganda, Ethiopia, Comoro, Arabuni nk.?
Tuache majungu na hasa hasa udini maana huyu Kinana kwa kuwa munamuona ni Muislamu na ana asili ya usomali! hata Salim Ahmed Salim alijadiliwa Uarabu wake wakati akigombea urais 2005!
Nchi yoyote yenye kufuata misingi au utawala wa sheria haiwezi kumbagua raia wake yoyote yule kwa misingi ya rangi, dini, jinsia au asili ya mtu! tuache fitina na chokochoko! sanasana wewe unaemjadili Kinana tukikuchunguza tunaweza kukugunduwa uharamu wa uraia wako!
KINANA ndiye wakala wa AL Shabab ya Somalia hapa nchini. Anatumia wadhifa wake ndani ya CCM kusafisha fedha chafu za makundi mbali mbali yanayohusika na utekaji nyara wa meli za mizigo katika Ghuba ya Somalia. Fedha hizo kwa mamilioni ya Dola za Kimarekani hulipwa na wenye meli ili meli zao na shehena za mizigo iliyobeba zipate kuachiwa (RANSOM). KINANA ndiye wakala wa kusimamia uwekezaji wa fedha hizo hapa nchini katika katika miradi mbali mbali ikiwemo mahoteli kama vile PARADISE,TANSOMA (TANZANIA SOMALIA); Uchimbaji wa madini; VIWANDA KADHAA N.K.
NI FISADI MKUBWA SANA, ILI KUJENGA MTANDAO WA UTAKAJI MAELI KULE KWAO SOMALIA ALIITUMIA SERIKALI YA CCM NA BAADHI YA MAWAZIRI KUUA SHIRIKA LA UMMA NASACO LILILOKUWA LIKIFANYA UWAKALA WA BIASHARA YA MAELI HAPA NCHINI KUTOKANA NA UNYETI WAKE KWA USALAMA WA TAIAFA NA KIMATAIFA. NA YEYE NDIYE ANAHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MAELI ILIYOKUWA IMESHIKWA NA NASACO KAMPUNI YA UMMA. nI KWA KUTUMIA KUHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MELI KATIKA AFRIKA MASHARIKI NA KATI IKIWEMO TANZANIA, KENYA, SOMALIA N.K HIVYO KUPITIA KWAKE NDUGU ZAKE WA KISOMALI HUPATA RATIBA NA KUFAHAMU SHEHENA YA MIZIGO ILIYOBEBWA NA MELI MBALI MBALI NA KUZIWEKEA MITEGO YA KUZITEKA NYARA KATIKA GHUBA YA SOMALIA ILI KULIPWA FEDHA KUZIACHIA.
UJIRA WA MASKKINI WA KISOMALI WANAOTUMIKA KUFANIKISHA UTAKAJI NYARA MELI NI KUVUSHWA KUTOKA SOMALIA KWENDA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA KIPINDI FULANI CHA UTEKAJI NYARA MELI WENYE MAFANIKIO. HIVYO KINANA NDIO HUSIMAMIA MTANDAO WA KUWAVUSHA WASOMALI KUPITIA KENYA, TANZANIA, MALAWI N.K HADI AFRIKA YA KUSINI KWA KUTUMIA FEDHA ZITOKANAZO NA UTEKAJI NYARA MELI KUWAHOINGA MAAFISA UHAMIAJI, POILIS N.K ILI KUWAVUSHA WATEKAJI NYARA MELI WAKE .
CCM NI MAFISADI TUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Abdul Rahman Kinana is king maker,CCM logic board, smart shroud, the guy who can square angles and sharpen corners ,a soldier of fortune. In short is an invisible man behind the scene, Emergency backup and rescue Spiderman cum Superman every time CCM send SOS (save our souls).
He is very professional ... katika utendaji wake wa kazi! Nilibahatika kufanya nae kazi sehemu fulani, na nili-appreciate kichwa chake!
Yeye ni mwanachama mwenye heshima sana ndani ya CCM, na mara nyingi hutumiwa kusuluhisha mipasuko ndani ya chama (Mbeya alishafika!).
Kwenye biashara, kila unapomkuta Sir Andy Chande basi nae Kinana yupo! hawa ni washikaji sana kibiashara, na mara nyingi wako kwenye Bodi za serikali pamoja!
Heshima kwako Jatropha,
Umesahau kitu kimoja muhimu sana.Kinana ni mwenyekiti wa chama cha wasomali wanaishi Tanzania na Kenya na sasa mtandao wao unazidi kupanuka ndani ya EAC.Madhumuni makuba ya chama cha ni kama ifuatavyo.
[1] Kuwasaidia wasomali kupata uraia kwa njia haramu na halali hapa nchini.Hili tayari limefanyika huko handeni wasomali walikuwa wakibembelezewa uraia wa Tanzania kitu kilichowashangaza watu wengi.
[2] Kuwasidia wasomali kupata nafasi nyeti ndani ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama eg JWTZ na TISS.Kuwasiadia wasomali kupata nafasi za kisiasa ili wasomali waendeshe mambo yao bila kuguswa na vyombo vya dola.Mfano mzuri ni huko Nzega Bashe alikuwa akimwaga fedha kama njugu bila kuguswa na TAKUKURU wala TISS.Arusha Mama batilda alikuwa akigawa fedha,kanga,kofia bila kugushwa na mtu yoyote.Jambo hili tayari limeshafanikiwa nchi Kenya Al shabab walifanikiwa kufanya mashambulizi ya kigaidi nchi Uganda wakitokea nchini Kenya.kenya wasomali wamenunua majumba na ardhi kwa kutumia fedha haramu za utekaji meli na sasa taratibu wanakuja Tanzania kufanya walichokifanya nchini Kenya.Kinana ni mtu pekee anayetegemewa kuwafungulia njia salama hasa ukizingatia nafasi yake kama kampeni manage wa Muungwana hakuna atakayewasumbua wasomali kuvuruga Tanzania bali watanzania wenyewe kuamka na kuumbua Kinana na gene lake la Al shabab.
Mungu ibariki Tanznaia Mungu ibariki Afrika.
Hiyo ndi sababu kubwa ya wao kung'ang'nia madraka kwa gharamo zote, lakini piga ua mwisho wao unakuja hata Mobutu Seseko aliyekuwa na uweze wa kukodijeshi la nchi za west kama France na Belgium aliodoka madarakani tena kwa aibu na sasa ni historiaA quote from Julius Nyerere " Kila nilipokuwa nikitaka kung'atuka, walikuwa wakiniambia Mwalimu andelea tu, hii nchi bado ni changa na umeitoa mbali, nchi haitaendelea bila wewe. Nami niliendelea, hadi pale nilipokuja kugundua kumbe nchi changa wanayoiongelea ni FAMILIA ZAO, na hazitaendelea bila mimi kuwepo madarakani, maana walikuwa hawana uhakika kama RAIS ajae atawaacha katika nafasi walizokuwa nazo" mwisho wa nukuu. Haya ndio maneno wasemayo viongozi wetu wa sasa, wanasema BILA CCM nchi haitaendelea, lakini ukweli ni kuwa BILA CCM ufisadi wao hautaendelea, maana hawan uhakika kama CHAMA kingine kikichukua nchi watabaki salama!