Abdul Nondo: Hakuna mtu aliyewahi kuthubutu kuandamana kwenda Ikulu zaidi ya ACT Wazalendo

Habari zenu wanajamvi,

Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!

Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Huyu wanamlia timing tu. Watamnyamazisha mazima huyu. Unaandamana kwenda Ikulu weee! Yaani ni sawa na mtu anayetaka kupindua nchi.
 
Huyu pimbi sijui kama anajua alichonena! chama chenyewe kimebebwa na CUF Zanzibar!
huko ikulu Walienda wangapi?
Kufanya nini?
Kama ni Katiba mpya CDM ilishamaliza kazi siku nyingi sana! hawa wapuuzi waache kudandia treni kwa mbele!
 
Watu kama hawa huwa wanavidhalilisha vyama vyao vya siasa. ACT vijana kama hawa mulitakiwa muwaeke pembeni, hawana sifa ya kuwa Viongozi.
 
Habari zenu wanajamvi,

Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!

Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Sioni kama anakosea, bali wewe ndio unatakiwa kujitathmini unaposema unamsikiliza Abdul Nondo...🤣
Mkuu, sikunyingine usirudie kumsikiliza kichaa...😜
 
Haka kadubwasha huwa najitahidi kweli kutafuta kanachokifanya au kuelewa kanachoongea ila nashindwa kabisa,hakana mvuto wowote na kakiongea na huo mdomo wake na tumikono twake kama twa Sungura ndiyo huwezi kabisa kukasikiliza ni uharo mtupu.
 
Unatukana aliepost sio Abdul Nondo naomba umuombe radhi mtoa mada mara moja kabla sijakuchukulia hatua za kishirikina
Wimbo ulio toka juzi wa Nipeni Maua Yangu
Kuna sehemu ROMA yeye amechagua siku uchaguzi ukija hapa Tanzania basi hatachagua CCM bali atachagua JIWE kwa kuwa kiongozi wa vyama pinzani DJ amebwafa manyanga.
Kwa muktadha huo wa ROMA hata mimi nawashauri wengine wanaodhani siasa ni mpaka kiongozi wa upinzani awe na siasa za ugomvi na vurugu nao waungane na ROMA
Anacho fanya mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan ni ku heal the Nation na Mbowe Ana heal the members of the Nation.
Sasa kwa miaka 2016-21 wengi wetu tuliongeza maradhi badala ya kupunguza maradhi
Maradhi sita yaliisonga nchi hii kwa kipindi hicho
Labda tukumbushabe tena maradhi hayo ambayo ni kisiasa,kiuchumi,kisaikolojia,kiutamaduni,kibiolojia,kiakili.
Sasa ukiangalia katika jicho la mwewe utagundua wanachofanya mheshimjwa Rais na Mbowe ni kupita njia za kutibu maradhi hayo hasa yale ambayo yanagusa jamii kwa asilimia kubwa
Bila kuficha jamii ya Tanzania kisiasa huwezi Acha kuvitaja CCM NA CHADEMA,na ndio ambao wana jamii kubwa,hivyo maradhi ya kisiasa yaliathiri vyama hivyo viwili.
Kwa kuwa hapa ni sehemu ya Great thinkers niishie kusema ROMA APEWE UA LAKE LA UCHOCHEZI KWA KUTOPENDA UPENDO,MATUMAINI NA UTENGAMANO.
MUNGU AENDELEE KULETA UTENGAMANO
 
Lissu akiamua kuongoza maamdamano polisi hawatatosha, mama analijua Hilo kaamua kuanza kumgawia mbowe asali.
 
Habari zenu wanajamvi,

Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!

Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Watu waliandamana kudai bumu kwenda ikulu wakati yeye anakula maparachichi Kigoma.
 
Habari zenu wanajamvi,

Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!

Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.

Na hichi ndicho alichokuwa anakitaka. Sasa waliandamana wapi?. Waliishia kupigizana kelele kwenye ofisi zao na polisi.
 
Wanaume hawapangiwi mambo yaoo bwana mdogo anaonyesha wazi kabisa yeye ni kiongozi mwacheni apambanie njia yake kipo kitu mbeleni mwake uoga uoga hauwezi kukukomboa popote palee

Alipambana wapi? Alishindwa hata kutoka getini. Sasa hayo ni maandamano au kiki.
 
Angalau abdul nondo ameonesha uthubutu tofauti na watz wengi waoga.Abdul komaa tuko nyuma yako tunakuunga mkono maandamano kuelekea ikulu.Ikulu ya awamu hii inamatumizi mabaya ya pesa za umma.Tirillioni na trillioni zinapotea kila siku huku chawa wakimpamba

Huyo Nondo ni mzee wa kiki hana Cha maandamano. Akawauza Wenzake wakaishia getini mwa ofisi za ACT. Hata hatua moja hawakupiga kutoka ofisini.
 
Ni kweli.hata gettini hawakutoka

Anadanganya wasiojua. Waliishia getini mwa ofisi zao wakizozana na polisi na mwisho wakasoma risala hapo ofisini kwao, ila anadai waliandamana kwenda Ikulu. Nondo atawafelisha Sana ACT maana anatafuta kiki ya kutokea.
 
Back
Top Bottom