Abdul Aonekana Ubalozi wa Afrika kusini

Inaonekana wewe una chuki binafsi na CCM. Viongozi wenu wanadai ni usalama wa taifa sasa usalama wa taifa na CCM wapi na wapi? Mazingira yanaonesha CDM inahusika ili iichafue serikali na Usalama wa Taifa. Haiwezekani ktk bajeti zao waishutumu idara ya usalama kabla hata tukio la Ulimboka halijatokea ina maana bajeti zao zimeandaliwa juzi juzi tu? Hawa walijua kila kitu kuanzia kupanga migomo mpaka kumtesa ulimboka kwa kutumia watu wao waliopandikiza ktk usalama.

Viongozi wenu walishadai wana watu wao usalama wanaowapa habari za serikali bila shaka hawa ndio waliotumika kwa Ulimboka kwa sababu wametumwa na watu ambao hawana utaalamu wa kutesa watu wao ni wanasiasa. Ushahidi wa ulimboka mwenyewe unadai kuwa walikuwa wanashauriana wampige sindano ya sumu, risasi mwisho wakapatana wamgonge na gari. hapo utaona hawa hawakutumwa na idara ya usalama wa Taifa maana kama iliwatuma wangejua wanatakiwa kufanya nini na nini wameambiiwa wafanye na sio wao wenyewe kushauriana cha kufanya.

Msiipake matope idara ya usalama wa taifa maana imetukuka na inafanya kazi na serikali yoyote iwe ni ya CCM au CDM

Hatuna usalama wa Taifa tanzania, Ni usalama wa CCM.
 
Huu ndio uzushi ambao hauna ukweli wowote!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mliopo viwanja vya ndege!! Hebu chunguzeni siku ya kuondoka huyu jamaa ili tutoe taarifa mapema kwa walio na Ulimboka
Kwani yeye ni nani hata aendelee kuwatisha watu kiasi hicho maana kujulikana ajue yupo hatarini!Mi nadhani ikulu kama inamtumia itaakua imeishiwa maana haiwezekani Utatue tatizo kwa akili ileile iliyoleta tatizo eti zero alete hero!?Magamba
 
Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria).

Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi aliyopewa na Ikulu

My take: Ulinzi unapaswa kuimarishwa huko ili hawa wanyama toka Chama Cha Mabwepande (CCM) wasifanikiwa kutoa uhai wake.

Ziko taarifa kuwa dr. Ulimboka ameombewa ulinzi ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ional-ubalozi-wa-tz-afrika-kusini-wahaha.html ) kama hili lingefanikiwa, ingekuwa bora sana.

Quality

Watanzania hawahitaji VIZA kuingia Afrika ya Kusini QUALITY
 
Last edited by a moderator:
Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria).

Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi aliyopewa na Ikulu

My take: Ulinzi unapaswa kuimarishwa huko ili hawa wanyama toka Chama Cha Mabwepande (CCM) wasifanikiwa kutoa uhai wake.

Ziko taarifa kuwa dr. Ulimboka ameombewa ulinzi ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ional-ubalozi-wa-tz-afrika-kusini-wahaha.html ) kama hili lingefanikiwa, ingekuwa bora sana.

Quality

labda kaenda salimia, siku hizi ukitaka kwenda Africa kusini wapanda pipa tu, hamna cha visa wala nini!
 
Ulimboka na Huyo Abdul Wanajuana wasituzinguee....mnajua kuna Ujinga hapa Kati Kati Umefanyika...lazima kuna vitu haviko straight happa na tutajua tu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kumbe hawa wahuaji awajachoka tu? Kwa taarifa yao...." Alianza na MUNGU, anaongozwa na MUNGU, atamaliza na MUNGU" Get well soon kamanda Uli, uje tuendeleze mapambano ya kuwang'oa wakoloni weusi wa hii nchi ambao ni mashetani kuliko hata wakoloni weupe.
 
Back
Top Bottom