Abdul Aonekana Ubalozi wa Afrika kusini

Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria).

Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi aliyopewa na Ikulu

My take: Ulinzi unapaswa kuimarishwa huko ili hawa wanyama toka Chama Cha Mabwepande (CCM) wasifanikiwa kutoa uhai wake.

Ziko taarifa kuwa dr. Ulimboka ameombewa ulinzi ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ional-ubalozi-wa-tz-afrika-kusini-wahaha.html ) kama hili lingefanikiwa, ingekuwa bora sana.

Quality

nisaidie CCM wanaingia vp?
tupe details za huyu abdul?
 
Watu mbona tunatusua sana South bila visa, ukifika ndio unagonga hakuna nouma wala ngendembwe. Sasa mtu akaombe visa ya nini tena jamani. Mbona mnatuona kama watu wa JF ni viazi kila upuuzi na taarifa zisizo kamili mnatupia tu! Hivi ma mods wanatoa ban kwa matusi tu ni high time sasa kupunguza uzushi ili heshima irudi jamvini.

Kama kweli jasusi si bora angepita beitbridge!
 
Kuna thread humu ndani iliandikwa kuwa Abdiel/Abdul alikimbilia SA siku inayofuata baada ya kipigo tena kwa kupitia Nairobi. Sasa huyu ni mwingine tena!?
 
Nashangaa!!!!!!!!! huu udaku unaharibu jamvi. JF imekuwa sio ya great thinkers tena bali mahala pa udaku na uzushi.
mkuu usishangae hili ni jukwaa la siasa....siasa za bongo siku hizi ni udaku....ushuzi...majungu...fitina ..... hii ndiyo tanzania
 
Huu ni uzushi mbona viza ya South Africa ilishafutwa kitambo?Ni suala la kwenda airport na passport yako pamoja na cheti cha chanjo ya manjano,halafu unakwea pipa!

Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria).

Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi aliyopewa na Ikulu

My take: Ulinzi unapaswa kuimarishwa huko ili hawa wanyama toka Chama Cha Mabwepande (CCM) wasifanikiwa kutoa uhai wake.

Ziko taarifa kuwa dr. Ulimboka ameombewa ulinzi ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ional-ubalozi-wa-tz-afrika-kusini-wahaha.html ) kama hili lingefanikiwa, ingekuwa bora sana.

Quality
 
Pengine hata huko ujerumani hayupo, alipo pengine ni sehemu nyingine kabisaa. Mnafikiri kusoma mpaka kuitwa Dokta mchezo.

Halafu huyu abdul ni nani hasa mpaka anakosesha usingizi wa-TZ?
 
Hivi siku hizi kuna usalama wa taifa au ccm?imetukuka kwa kukilinda chama kimoja na watu wao na kuwasahau wananchi,usalama wa taifa ilikuwa enzi za nyerere hawa wa siku hizi waropokaji na kila mtu anajua kuwa mtu fulani yuko usalama wa taifa,acha porojo hiyo siyo siri mimi mwenyewe sina chama lakini usalama wa taifa najua ni janga la kitaifa,sasa wasiwapendelee ccm wakati ndiyo wanaofanya nao kazi inawezekana kweli?jaribu kufikiri siyo kushabikia kitu ambacho kinapoteza taifa letu

Hoja zako ziko kishabiki zaidi lakini ukweli utabaki pale pale. Sasa hao wanaopeleka habari za serikali nao ni usalama wa CCM?
 
Back
Top Bottom