Abdul Aonekana Ubalozi wa Afrika kusini

Abdul Aonekana Ubalozi wa Afrika kusini

Home of great thinker,yaani watu wanatuletea habari za kufikirika!
 
wasiwasi wenu tu kwa hiyo mtu asisafiri kwenda afrika kusini kisa Dr ulimboka makubwa

Eeh asisafiri maana alipoacha kusafiri alifanya alivyofanya sasa anasafiri kwenda kufanya nini kule. Lakini ajihadhari maana Kagame alijaribu akashindwa na hivyo akalazimika kulipa SA kwa kujaribu kutumia umafia katika ardhi ya SA. Msangi jihadhari kama umedanganywa kwenda kwa mission hiyo una hali mbaya
 
hapa ni Uzushi bab K! Zuid Africa you don't need Visa guys

Ha ha ha ha... nani ka kwambia lazima unahitaji viza kuna mkataba wa serikali yetu na ile ya SA kwa baadhi ya watumishi wa serikali na wagonjwa tu nadhani. Wengine wote lazima walipe tena ni randi nyingi siyo kidogo.
 
Kweli kabisa jamaa mchochezi tu afrika kusini hakuhitaji visa ss yeye amemuona wapi na Umbea wake

Watanzania wote wale unaowakuta kwenye jengo la EL walimopanga High Commissioner for SA wanataka nini kama si visa? Afrika Kusini kuna visa tena wakati mwingine wanazingua kama vile unaenda Ulaya na Marekani. We sema tu ukiingia na visa ya single entry bila multiple entry utapata shida ukienda Lesotho.

So visa ipo pale pale
 
Nashangaa!!!!!!!!! huu udaku unaharibu jamvi. JF imekuwa sio ya great thinkers tena bali mahala pa udaku na uzushi.

Kuonesha hizi habari ni za uongo na uzushi , ni huyu mleta mada kumtaja huyo mshukiwa kwa jina la Abdul wkt huyo mshukiwa anaitwa Abeidi
 
Sioni kama kuna sababu ya kuchangia kwenye hii thread, kwani imejaa uzushi wa uongo na porojo nyingi.
 
Wakuu tuwe tunasoma magazeti. MwanaHALISI ya leo imeyaandika yote hayo kwa kina. HAKUNA KIONGOZI YEYETO ALIYESHAYAKANA. KWELI AKIONEKANA akitafuta kibali.
 
Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria).

Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi aliyopewa na Ikulu

My take: Ulinzi unapaswa kuimarishwa huko ili hawa wanyama toka Chama Cha Mabwepande (CCM) wasifanikiwa kutoa uhai wake.

Ziko taarifa kuwa dr. Ulimboka ameombewa ulinzi ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ional-ubalozi-wa-tz-afrika-kusini-wahaha.html ) kama hili lingefanikiwa, ingekuwa bora sana.

Quality

Nimetoka South Africa few weeks back na sikuhitaji visa, au kwa vile mi nilienda J'burg ili hali huyu anaenda Pretoria???
 
Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria).

Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi aliyopewa na Ikulu

My take: Ulinzi unapaswa kuimarishwa huko ili hawa wanyama toka Chama Cha Mabwepande (CCM) wasifanikiwa kutoa uhai wake.

Ziko taarifa kuwa dr. Ulimboka ameombewa ulinzi ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ional-ubalozi-wa-tz-afrika-kusini-wahaha.html ) kama hili lingefanikiwa, ingekuwa bora sana.

Quality

Tuache hayo mengine yote ila hapo kwenye blue ni muhimu sana.Mungu atatusaidia
 
Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria).

Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi aliyopewa na Ikulu

My take: Ulinzi unapaswa kuimarishwa huko ili hawa wanyama toka Chama Cha Mabwepande (CCM) wasifanikiwa kutoa uhai wake.

Ziko taarifa kuwa dr. Ulimboka ameombewa ulinzi ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ional-ubalozi-wa-tz-afrika-kusini-wahaha.html ) kama hili lingefanikiwa, ingekuwa bora sana.

Quality
Ofisa wa serikali haombi visa kwenda SA Serikali ya Jamuhuri ilisaini protocol wakati wa Mbeki kuondoa visa kwa maofisa. Labda yuko kwa kazi nyinigne
 
Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria).

Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi aliyopewa na Ikulu

My take: Ulinzi unapaswa kuimarishwa huko ili hawa wanyama toka Chama Cha Mabwepande (CCM) wasifanikiwa kutoa uhai wake.

Ziko taarifa kuwa dr. Ulimboka ameombewa ulinzi ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ional-ubalozi-wa-tz-afrika-kusini-wahaha.html ) kama hili lingefanikiwa, ingekuwa bora sana.

Quality
Mkuu Afrika ya kusini hakuna visa(watanzania tunahitaji pass na vacination card)atakuw amefuata mengine tu.

Nawasilisha.
 
Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria).

Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi aliyopewa na Ikulu

My take: Ulinzi unapaswa kuimarishwa huko ili hawa wanyama toka Chama Cha Mabwepande (CCM) wasifanikiwa kutoa uhai wake.

Ziko taarifa kuwa dr. Ulimboka ameombewa ulinzi ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ional-ubalozi-wa-tz-afrika-kusini-wahaha.html ) kama hili lingefanikiwa, ingekuwa bora sana.

Quality

Jasusi uchwara huyo... Sidhani kama ana uhusiano na serikali.

Jasusi hasa, haombi viza wala passport. Wana namna yao ya kusafiri.
 
SA hatuendi kwa visa...kwa hilo tu habari hii siiafiki itakuwa ni uzushi tu
 
Inaonekana wewe una chuki binafsi na CCM. Viongozi wenu wanadai ni usalama wa taifa sasa usalama wa taifa na CCM wapi na wapi? Mazingira yanaonesha CDM inahusika ili iichafue serikali na Usalama wa Taifa. Haiwezekani ktk bajeti zao waishutumu idara ya usalama kabla hata tukio la Ulimboka halijatokea ina maana bajeti zao zimeandaliwa juzi juzi tu? Hawa walijua kila kitu kuanzia kupanga migomo mpaka kumtesa ulimboka kwa kutumia watu wao waliopandikiza ktk usalama.

Viongozi wenu walishadai wana watu wao usalama wanaowapa habari za serikali bila shaka hawa ndio waliotumika kwa Ulimboka kwa sababu wametumwa na watu ambao hawana utaalamu wa kutesa watu wao ni wanasiasa. Ushahidi wa ulimboka mwenyewe unadai kuwa walikuwa wanashauriana wampige sindano ya sumu, risasi mwisho wakapatana wamgonge na gari. hapo utaona hawa hawakutumwa na idara ya usalama wa Taifa maana kama iliwatuma wangejua wanatakiwa kufanya nini na nini wameambiiwa wafanye na sio wao wenyewe kushauriana cha kufanya.

Msiipake matope idara ya usalama wa taifa maana imetukuka na inafanya kazi na serikali yoyote iwe ni ya CCM au CDM
Hivi siku hizi kuna usalama wa taifa au ccm?imetukuka kwa kukilinda chama kimoja na watu wao na kuwasahau wananchi,usalama wa taifa ilikuwa enzi za nyerere hawa wa siku hizi waropokaji na kila mtu anajua kuwa mtu fulani yuko usalama wa taifa,acha porojo hiyo siyo siri mimi mwenyewe sina chama lakini usalama wa taifa najua ni janga la kitaifa,sasa wasiwapendelee ccm wakati ndiyo wanaofanya nao kazi inawezekana kweli?jaribu kufikiri siyo kushabikia kitu ambacho kinapoteza taifa letu
 
Back
Top Bottom