Ab roller kifaa cha mazoezi

Ab roller kifaa cha mazoezi

brilliant me

Member
Joined
Aug 1, 2024
Posts
39
Reaction score
52
Habari zenu mabibi na mabwana!!

Ninaomba maelekezo kwa wadau wa mazoezi na pia wale watu wote wanaotumia vifaa mbali mbali vya mazoezi, naomba mnijuze kuhusu ab roller. Je ni sahihi kwa wanawake kukitumia?
Nimekuwa nikikitumia wiki mbili sasa yani tumbo linaisha kwa kasi ya ajabu sana.. ila naogopa nisije nikawa na umbo kama la bouncer. Naomba kama kuna mtaalamu wa mazoezi na mwenye ujuzi kuhusu vifaa vya mazoezi anishauri au anitoe hofu.
 
Back
Top Bottom