Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,766
ni mbunge viti maalum.Ndo nani huyoooo...
Kifo chake kilisababishwa na ajari ya ndege mwanzoni mwa mwaka 2000!!!!kama nimekosea nirekebisheni.
ni mbunge viti maalum.
Ndo nani huyoooo...
Alikuwa anatokea kisiwa cha Haiti ambacho ni maarufu kwa uchawi wakati ajali ilipomkuta. Inaaminika wanamuziki wengi weusi marekani hupenda kwenda Haiti kupata nguvu za kimiujiza kwa ajili ya umaarufu. Ndipo utashangaa nyimbo za hovyo hovyo nyingi kutoka US zinachati na kufanya wengi kujiuliza kwa nini. Mwisho wa yote wanamuziki hao hufa kiajabu ajabu au kuchanganyikiwa. Kifo cha Aaliya Pengine alikiuka masharti fulani

Acha kuamini nguvu za giza ndugu yangu, zitakuchelesha sana maisha haya, we utaamini vipi misukule usiyoiona?
Ndio maana dokta Manyaunyau anachukua hela zenye zote za nyumba za urithi.