kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,757
Kifo chake kilisababishwa na ajari ya ndege mwanzoni mwa mwaka 2000!!!!kama nimekosea nirekebisheni.
halafu kwa kuongeza tu ( put the record straight ),alianza kuuchezea "mpododo" wa R Kelly tangu akiwa na umri wa miaka 15-16.media na mashabiki wa mziki walipo muandama juu uhusiano huo,akatoa track "Age Ain't Nothing but a Number",kwa tafsiri isiyo rasmi :tofauti ya umri mkubwa au mdogo ktk mahusiano sio tatizo,zile ni namba tu.
RIP Aaliyah
