Weeee......nitakupiga Ban sasa hivi.Huyo jike anaitwa Yanga au? Mbona Simba kawa mpole next to her?
Usimtetei mkuu... HUyo anaogopa kabisa, he is traumtized. Cheki alivo pandisha mguu anaogopa usivunjwe. lol , the same way wajina wake hua anatishwa na YANGA... hahahahahaWeeee......nitakupiga Ban sasa hivi.
Sio kawa mpole, anamshangaa huyo Yanga anachofanya wakati katoka kumshughulikia muda sio mrefu...........
kama vile anawaza............huyu nae hazimuishi tu!! mara hii anataka tena.
Just the way we treat you...........Unanyamaz kimya, unapewa vidonge vyako, unajifanya mnyenyekevu...........Then unamwambia nasikia njaa, na anaenda kukutengenezea he best food in the world.Usimtetei mkuu... HUyo anaogopa kabisa, he is traumtized. Cheki alivo pandisha mguu anaogopa usivunjwe. lol , the same way wajina wake hua anatishwa na YANGA... hahahahaha
Huyo jike anaitwa Yanga au? Mbona Simba kawa mpole next to her?
thanks biggy.... That is the best way to be a man, let her talk, and on friday... You also ask for a few drinks with a sorry ass look
mmhhh
kama wanaume wangekuwa wanasikiliza
mara ya kwanza .. haya yote yasingetoka lol
Kweli kabisa,manake mwanamke afikie hapo ujue keshabembeleza,keshasema kimapenzian kasema tone ya kawaida na havikuzaa matunda! Bible inasema 'enyi wanaume,kaeni na wake zenu kwa AKILI'. Sijui kwa nini wanashindwa kutumanage na sie ni dhaifu na akili zenyewe chache! Kha!