mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
mnhhhhh huyo ni simba na ukali wake wote ila kwa mama yoyooo kawa mpole
Just the way we treat you...........Unanyamaz kimya, unapewa vidonge vyako, unajifanya mnyenyekevu...........Then unamwambia nasikia njaa, na anaenda kukutengenezea he best food in the world.
Duh! mi ngoja niendelee kumpenda huyu better halfkwangu bana!!