Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,274
- 61,225
Johhny is gone poor thing
john huyuhuyu ninaemjua mimi?Labda tuoneshwe John wa Magogoni huyu ni kitendawili.
Gone with the windJohhny is gone poor thing
Atakua huyo huyojohn huyuhuyu ninaemjua mimi?
Huelewi nini hapa na wewe...maskini kichwa maji mimi ntaelewa nini hapa!
haya nimeelewa asanteHuelewi nini hapa na wewe...
Anamaanisha Absent With Out Leave "A.W.O.L" eti ameondoka bila ya ruhusa au ili uelewe vizuri zaidi,ni kwamba ametoroka.
Ni common say Jeshini.
John alikuwa anahodhi kila kitu
John alikuwa anahodhi kila kitu
Umahiri wake umemponza! Unaambiwa hata kinye chake kilikuwa lulu...unaambiwa hakuna kilichoachwa ndio maana ni ngumu kupata hata maiti yakeJohn alikuwa anamiliki majike yote huko Ngorongoro,utashangaa binadamu wakaanza kumuonea wivu eti anafaidi sana kuliko wao.Kweli nimeamini ubinadamu kazi bora umfadhili Mbuzi kuna siku utakunywan supu yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maskini kichwa maji mimi ntaelewa nini hapa!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Umahiri wake umemponza! Unaambiwa hata kinye chake kilikuwa lulu...unaambiwa hakuna kilichoachwa ndio maana ni ngumu kupata hata maiti yake
Shangaa sasa nyama pembe na viungo vyake vingine vimeenda kufanyia nini
-ndele
-mvuto
-ngekewa
-dawa za nguvu za mwili
-dawa za nguvu za kiume
-dawa za nguvu za kike
Kipaji kimemponza[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji25]
Imba kale kawimbo cha Yemi Alade "I'm looking for ma Joni"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunamtaka John wetu