A.W.O.L (Joni)

A.W.O.L (Joni)

e17458ac244415f35a0985c9b8fef5a5.jpg


Am looking for my johnny eh
Where is my johnny
Johnny mo
Do you know johnny…question
If i no see my johnny
Que veu dire Fefe geme
 
Breaking news. ...!!!
Hatimaye masalia ya bingwa Joni yakabidhiwa kwa waziri mkuu
Kilichokabidhiwa ni pembe za marehemu aliyeaga dunia mwezi wa nane mwaka huu....Hayati faru Joni ameacha watoto 26 kila mmoja akiwa na mama yake....
Kitendawili kimeteguka Faru Joni hatunaye milele
0637c33e9edf192236ac7a48c3c47f6b.jpg
 
Nimekuja fasta fasta nikajua muvi ya Van Dame ya kitambo kumbe hilo lidubwasha Joni sijui
 
Hajatiwa ktk mifuko ya sandarusi pamoja na mawe akatoswa mto ruvu kweli?
 
Back
Top Bottom