A Tribute to my Friend Carol! Nitakukumbuka Daima

A Tribute to my Friend Carol! Nitakukumbuka Daima

I feel you, I feel the pain...[emoji174][emoji174][emoji174]

Mwenyezi Mungu amjaalie Caro pumziko lenye heri... Amen.[emoji120][emoji120][emoji120]
 
i wish caro angeweza kusoma hii meseji inayoumiza na kuchoma kiasi hiki angelia sn, imeniumiza sn naisoma zaidi ya mara tatu, machozi yamenitoka. RIP Caro
 
I wish we knew where we're heading after death, the mystery is so disturbing to be honest. That's one of the reasons one wouldn't think of the so called almighty...the sh!t is just a blow to humankind, death..wtf!!
Biblia inaeleza kile kinachotokea baada ya kifo na kile ambacho Mungu atafanya Kwa wafu wakati ujao
 
Mi nataka kujua pia. !?
The fact that it is shared...then it is good to know Why!?
Ata mimi pia ninataka kujua... Tujifunze kwa yote... Ata msibani uwaga wanasema marehemu alikua anasumbuliwa na kitu flani kwa mda flani..
 
She kept it as a secret... Very few people in her life ndio tulifaham. She had reasons for that.. Good ones

Na mimi ndio maana sijataja hilo.. Nimeheshim jambo ambalo alilisimamia enzi za uhai wake.
Bila kutuelezea nini kimemfisha uzi haujakamilika kabisa.

Na kwa tafsiri rahisi alikuwa anaumwa AIDS, sababu ndio gonjwa pekee watu wasilopenda kujulikana wanaumwa ama limewaua ndugu zao.

Ungetuzuga hata kansa ndio imemchukua ila kuacha blank ni kama umetuambia jibu sahihi.
 
wote sisi ni watu wazima humu jamani.ukiona mtu maarufu au asiye maarufu umeambiwa amefariki halafu huambiwi aina ya ugonjwa ujue ni huu.

ingawa nawenyewe umekua sio habari tena,licha ya watu kuwa na matazamio hasi kwamba mhusika alipewa kwa ngono nzembe tu.
 
Back
Top Bottom