A Tribute to my Friend Carol! Nitakukumbuka Daima

A Tribute to my Friend Carol! Nitakukumbuka Daima

Aisee nlivokua nasoma naisi kichwa kinachemka japo sijatoa machozi, I wish I have that bond you had with Carol ila asife, tuwe friend till evening ages.
Pole sana mkuu.

Mkuu ni kweli kichwa kimechemka au umeamua kutudanganya tu?
 
Pole sana. Umenigusa mno hasa jinsi ulivyojitafakari! Mungu aliyejaa huruma atuhurumie ...RIP Carol
 
Huyu bint nilikua namfaham..well

Litsen

Hakika wanadam wangefaham baada ya kufa wanaenda wap bas kusingekua na vilio dunian

Mfano..mtoto anapozaliwa akitoka tuu tumbon mwa mama ambako kwake yeye ndo mahala pazur sanaa na angewish aendelee kukaa humo milele huwa analia sana akihuzunika wap naenda,ila baada ya dk kadhaa baada ya kufika dunian ndo anaona uzur wa dunia ulivyo,anatulia na maisha yanakua mapya

Mtoa mada umenielewa lakin.
Sio kweli mkuu, mtoto akizaliwa analia kwasababu mapafu yanavuta hewa ya nje kwa mara ya kwanza na ndio yanaanza kufanya kazi
 
Muhimbili hapafai. Kwanza ward rules zao pekee, ambapo ndugu haruhusiwi kushinda na mgonjwa usiku kucha, hata kama mgonjwa hawezi kusimama na kwenda chooni mwenyewe ni death sentence in itself. Halafu poor staffing, impersonal treatment mgonjwa anayopata kutoka kwa manesi na madaktari na urasimu mkubwa. Long hours spent waiting in queues hadi mgonjwa apate huduma bila kujali hali yake. Dirty bathrooms and overall unhygienic conditions and lack of privacy yanachangia vifo vya wagonjwa ukilinganisha na private hospitals
cc G4N na tindo wanaowabishia kwenye ule uzi waone hii comment
 
Kifo kisikieni tu jamani kisitokee kwa mtu wa karibu yako it's really Hurt jamani.
Kuhusu ndoto. Kuna ndoto nilikua naziota mara kwa mara kuanzia late April mwaka huu.. kila siku nilikua namuota Marehe Baba Mkubwa ananiita yaani adi naogopa. Kipindi hiko Mke wake (Mamkubwa/Mama angu mlezi) alikua anaumwa sana, alipelekwa Hospital ya maweni kigoma nikawa najisemea ngoja akitoka Hospital ndio niongee nae, kila siku najisemea hvo.. naulizia tu yu hali gani wanasema kiasi yuko Good. Ijumaa saa mbili usiku Tarehe 10 May 2019 Baba ananipigia simu ananiambia "Dogo Mama ako kafariki, nkauliza mama Gani (Nina kama mama wa 4 hv) Mama ako mkubwa. wee sijui nilitupa simu muda gani nalia kwa sauti ila machozi hayotokiiii.. Uchungu jamani usikie tu. Ni mama alie nilie toka Nina 6 yrs mpaka nakua mtu mzima, na hakua na mtoto mwingine zaidi yangu.

Baadae nikaanza kumuota kila siku, kila siku namuota namwambia mzee ananiambia punguza kumuwaza.. najitahidi ila wapi naota tuko nae tunaongea,mara tuna kula..

Siku nyingine nikamuota marehemu bamkubwa tena, yaani nimemuota usiku saa 12 asubuhi baba ananitumia sms Bibi yako kafariki (mzaa mama) hiyo ilikua Alhamis June 5 2019. Nikaanza kuogopa ndoto za kumuota huyu mzee. Mambo yakapita ila kwa wiki angalau namuota mara nne mama mkubwa marehemu.

July nilikua kumtembelea Bamdogo angu Dar.. nikamuotaga tena Baba mkubwa asee siku hyo sikua na amani karibia wki nzima nawaza nini kitatokea..Najiambia ni ndoto tu haihusiani na matukio ya vifo. Tarehe 21 nikaenda kumtembelea ndugu yangu mwingine nimekaa kesho Simu napigiwa naambiwa fanya haraka nenda kaangalie nyumba Baba ako mdogo kapata ajali Temeke kapelekwa Muhimbili.. Nilipigwa na ganzi aseee.. Mtu nimemwacha mzima home naambiwa hajitambui muda wowote anaweza kukata kamba. Asee ilikua siku ngumu mno kwangu adi nilikua naogopa simu ikiiita.. hiyo ilikua Jumatatu trehe 22 mwezi July 2019. Mungu mkubwa Bamdogo bado hai leo ila yuko muhimbili bado mgu umevunjika na kichwani kuna shida kidogo.

Leo uskku tena nimeota tena kifo cha mtu ila nawaambia waniambie ni nani hawasemi...Yaani naogopa mno.

Sijui kuna Connection gani kati ya haya matukio na hizi ndoto
Kifupi unapoota jambo unalohisi ni baya unapaswa kuomba against it. Sifa si kuota na kusimulia kilivyotokea bali kuomba Yesu akiepushe.
 
Kifupi unapoota jambo unalohisi ni baya unapaswa kuomba against it. Sifa si kuota na kusimulia kilivyotokea bali kuomba Yesu akiepushe.

Unaomba yesu au Mungu ni nani kati ya hao mwenye msaada kwako?
 
Back
Top Bottom