A Town tuambizane wapi pa kukutana kesho jioni?

Kesho jioni nina mpango wa kuwa mjini Arusha baada ya kazi kuniweka porini kwa wiki nzima. Sasa wana JF wa Arusha si tuambizane wapi pa kwenda na kukutana kesho jioni kuelekea usiku!

Siombi offer ya bia wala kiroba (Nakunywa soda za wananchi tu)
Siombi nyama choma coz mi hata chips kavu na lonjo twendee

Tuambizane tu.....

mkuu hata mi niko arusha tupange vizuri hiyo kesho tuonane, naona leo mvua imenikatili hata town sijafika

cc:Filipo Arushaone Passion Lady Preta Erickb52 Chocs Tonykp sweetlady King'asti Asnam Mr Rocky
 
Ngoja nikupe analysis yangu: Da Sophy ni small hausi ya The Boss. Ndo maana Kongosho anajidai hajamuelewa dearest da sophy. Mpambano unaendelea, naskia the boss kahama nyumbani, konnie jana alikuwa kisarawe kwa mganga wa mange kimambi manake naskia mizimu yake inaelewa kingreza.

Copyright: Dr king'asti, phd in umbealogyr
Hahahahaha, mke mwenza King'asti ntalia ujue lol...

Huyo Da Sophy ndie karithi mikoba ya The Boss au ni katibu wake?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikupe analysis yangu: Da Sophy ni small hausi ya The Boss. Ndo maana Kongosho anajidai hajamuelewa dearest da sophy. Mpambano unaendelea, naskia the boss kahama nyumbani, konnie jana alikuwa kisarawe kwa mganga wa mange kimambi manake naskia mizimu yake inaelewa kingreza.

Copyright: Dr king'asti, phd in umbealogyr

Unakatika katika, sikupati vizuri!
 
Nimekukubali King'asti
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom