Nawaonea wivu wana arachuga ila kesho natia timu hapo TZ huku naona mkikuyu anakabidhiwa nchi. Niwekeeni EAGLE zangu kama 5 nasikia ni nzuri sana hizo biya.
Mgeni mwenyeji! Alikuja muda ila alipotelea Loitoktok!
nasubiri muambizane
mi mtanikuta nishafika!
asiekuepo na lake halipo!
we baki huko kwa kina chipsi funga
ila tumekumis kwli!
Basi potelea mbali niwekeeni Banana Biya Passion Lady.
siji na mtu nakuja alone!
Yap yap madameYeah, pale pako bomba,
Basi tukutaneni, kisha tujiachieni wana Ar!
angalia usilale wewe..........