A Town tuambizane wapi pa kukutana kesho jioni?

A Town tuambizane wapi pa kukutana kesho jioni?

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Kesho jioni nina mpango wa kuwa mjini Arusha baada ya kazi kuniweka porini kwa wiki nzima. Sasa wana JF wa Arusha si tuambizane wapi pa kwenda na kukutana kesho jioni kuelekea usiku!

Siombi offer ya bia wala kiroba (Nakunywa soda za wananchi tu)
Siombi nyama choma coz mi hata chips kavu na lonjo twendee

Tuambizane tu.....
 
Hivi Schwein pakoje ijumaa Erickb52........?.......panahappen au tuelekee Sundowner ya Kisongo .......?
 
Last edited by a moderator:
hapa naona mnatupia vitu hatari,nahisi nimepotea njia.
 
Ushapiga ndyoftj tayari hadi mdomo umekuwa mzito, badala ya kusema "pako" unasema palo, teh teh teh, kweli maji sio soda

Kudadadeki kweli Sefet
Dah ilikuwa noma
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom