A Town tuambizane wapi pa kukutana kesho jioni?

A Town tuambizane wapi pa kukutana kesho jioni?

Ngoja nikupe analysis yangu: Da Sophy ni small hausi ya The Boss. Ndo maana Kongosho anajidai hajamuelewa dearest da sophy. Mpambano unaendelea, naskia the boss kahama nyumbani, konnie jana alikuwa kisarawe kwa mganga wa mange kimambi manake naskia mizimu yake inaelewa kingreza.

Copyright: Dr king'asti, phd in umbealogyr

Hapa mnanchanganya flani siwasomi vizuri. Lakini mtu wangu kweli ni boss hata saizi net nasomea hapa ofisini kwake.
 
niko mahali nawaona... sijitokezi....nahisi ritz yuko hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom