A tour with a girl

atakayejitokeza ajiandae kwenda kunyofolewa viungo vya siri na ngozi.


watu hufahamiana kwanza then ndiyo huendelea na mambo ya Tour ,,,,,, kama mnakutana halafu mnakubaliana sioni kama ni tatizo, wachuna ngozi hawaji kwa staili hiyo.
 
aisee wewe unafaa zaidi hadi shopping...lini unarudia mkuu twende wote?
 
yupo hapa tayari kukupa company....anasema ukitaka kulala naye chumba kimoja ni USD 350 per night auxilliary costs ni kwako..
 
kaskazini kuna vivutio zaidi jamani


kaskazini alifanya tour mwaka jana na mwanamke rafiki yake ndiyo maana mwaka huu anataka mwanamke asiyefahamiana naye kabisa......

kama upo tayari na unapenda tour za hivi ni raha sana kama mtaheshimiana wote , mchek jamaa mkubaliane ila mkutane mapema kusomana na kufahamiana .
 
Hivi ni vitu vya kawaida..Lakini issue ni kuwa Mr. decentMan ametoa Tangazo kwa Public wakati dunia ya leo ni ya Freemanson na wachuna ngozi...Mr. DecentMan ..ndugu yangu na udecent wako umeshindwa hata kuokota bint mmoja kati ya marafiki wanaokuzunguka? Can't be true.. ..ndio maana wenzako wanakuwekea alama ya kuuliza???
 
kwan ww huna mchumba?....kuwa muwaz unataka kungonoka...usijidai una akili km za CCM
 
ukimtumbikiza mtoto wa mwenzio kule kitonga je?
 
aisee wewe unafaa zaidi hadi shopping...lini unarudia mkuu twende wote?

Huwa nafanya mara 2 kwa mwaka, si tulilala chumba na kitanda kimoja, ye ndo alitaka hivo, nahisi aliogopa kukimbiwa. Tulilala yeye akiwa naked kabisa, lkn fresh tu, saa 7 ucku nikamwamsha tukaingia club hadi 5:30am tukageuka, msiogope!
 

Ur a joker,kuna kitu ume intend kukifanya,i doubt with ur preffered location as well
(UMRI MIAKA 18-30) hahahaha aya bana
 
Huwa nafanya mara 2 kwa mwaka, si tulilala chumba na kitanda kimoja, ye ndo alitaka hivo, nahisi aliogopa kukimbiwa. Tulilala yeye akiwa naked kabisa, lkn fresh tu, saa 7 ucku nikamwamsha tukaingia club hadi 5:30am tukageuka, msiogope!

umenichekesha
yaani nimejikuta tu nacheka....

Jf kweli raha!!!!!!!!!!
 

Mmmmmh! umetumwa mgodini?
 

shikamoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…