Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,237
- 9,871
kwa mara ya kwanza nilishindwa kutuma India US dolla 350 kulipia cd rom za Chand nilizonunua online kisa sina Master Card, VISA, nk nina ka akaunti kangu benki ya wavuja jasho. Nilipotaka kutuma kwa njia ya Money telegram niliambiwa kiwango cha chini cha ada ya utumaji ni dollar 500! Hivi watanzania wa kawaida hatuwezi kununua online?