Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
rafiki yangu na pacha Ablessed
unisamehe tu pacha wangu..... naamini unajua nimekamatwa sana, ingawa najisikia vibaya sana sikuweza kukuanzishia huu uzi, nilitamani ingekuwa hivyo....
hata hivyo
ha haaa, mi naona rudi na vitu vya sasa maana naona unajisikia raha sana kuwa na vitu vya sasa, lol!Hahahahahaha hebu nimwite twin Fixed Point aje athibishe hili lol. Hivi nikirudi huko nyuma ina maana kila kitu kirudi kule au narudi mie tu halafu mengine yanaendelea
hata mimi jamani kaah......! Tunastahili kuchapwa
HAPPY BIRTHDAY DADA MKUBWA Ablessed japokuwa tumechelew ila tunakupenda sana na Mungu akupe miaka mingi ya uhai na baraka tele
Jamani hujachelewa halafu mambo mengi rafiki ndio maana si vema kulaumiana lkn ndio hivyo tena umeikosa keki. Asante sana kwa kujali