Angalia vizuri utakiona...Kuna watu 5. Sijaona Kikombe
Bado hujanishawishi... Angalia mazingira alipo huyu mama hainyeshi kama alikuwa amelala chini, halafu ndo ikainuliwa hivi.jaribu kuigeuza hii picha nyuzi 90 clockwise utapata jibu kama inawezekana au lah
Lazima upatwe na kiHARUSI... kikubwa!Je ukikandamiza vyote? Btw, kinaitwa kibao bonye.
Jibu "Sorry this password is currently in use by a different member, Try a different one"angeandika MTARIMBO angeona kama ingegoma
Hayo ndo madhara ya kutuenda JKT wala mgambo kwa vijana wa sasa?!Sielewi chochote hapa.