A picture speaks a thousand than words...

A picture speaks a thousand than words...

attachment.php
 
Wao, wao, wao!!!. Na sasa madaktari wako kwenye mgomo, nani atamshona kama amechanika?
 
img_00390_20080822_karina.jpg

Hapa kuna taswira za watu wangapi?
Na kikombe hapa kipo au hakipo?
 
Kama ungalikuwa ni wewe hapa ungependa kukandamiza wapi?
Kumbuka ukikandamiza tu kinakutokea!
Toa sababu?

Key board.jpg
 
View attachment 58591

Hapa kuna taswira za watu wangapi?
Na kikombe hapa kipo au hakipo?
Ubunifu uliotukuka!hapo kuna picha kama nne hivi kubwa ya babu na bibi,pia kuna ndogo mbili jamaa anaepiga "Guitar" na anayemsikiliza pembeni yake,sina uhakika kama kwenye sikio la babu ni mtu au mlango na pazia!
 
Mi ningeandika hii labda ni ndefu, "IBOROGERO" (kijiji huko Igunga):flypig:
 
Lol! Kajaribu kuandika mpezi wake mara ya pili; Jibu "Sorry this password is currently in use by a different member, Try a different one"
 
kwa wasiotumia tigo ..mbona inawezekana..? ILA KAMA UNATUMIA TIGO..USIJARIBU..!

Kwa hiyo watumiaji wa Zantel, Airtel na Voda ruksa?? sasa haya mambo ya mtandao yanahusiana nini tena na hii picha jameeni??
 
Ingekuwa Nchi za watu wenye kujua nini maana ya vipaji sasa hivi ungekuwa unaongelea maswala ya kusaini cheki za mabilioni, lakini TZ unahitaji Siasa, au ujanja ujanja tu ili utoke.
 
Back
Top Bottom