Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,905
- 19,687
- Thread starter
-
- #281
Ngoja wapemba waje wakushambulie me simooooooWenzako wanafurahia kuguswa na kidevu change ndevu, wanapata msisimko kabisa. Kweli kazi tunayo, hawa wapemba ni noma kwa taifa.
Kijana mtanashati amewaangusha, heheheNmekuja mbio kama ofisa ngiri mkia juu nkajua uzi wa kimasikhara na dr leo π¬
Meno meupeee yamepangika vizuri halafu ana fizi nyeusi na kamwanya ka mbali, basi anapenda kutabasamu huyoooooπππ ndevu zilizotunzwa dear, sio km brush za chooni, hapanaa.
Ila Dear nimependa uliposema ana meno meupee, alooo umenifanya nisisimke. Napenda Guy akiwa msafi wa kinywa.
Yule mimi namwelewa sasa.Kwa anavyojieleza huyu daktari wetu mariposa ni mdada mrembo yule sio mrembo
Kama ana viashiria hivi...πππYule mimi namwelewa sasa.
Sijui kama na yeye anapenda wanawake wenzake kama huyu
Dah! Kesi ishakuwa ngumu.Kama ana viashiria hivi...πππ
Oooh kuna crush wangu ana meno meupe na fizi nyeusiMeno meupeee yamepangika vizuri halafu ana fizi nyeusi na kamwanya ka mbali, basi anapenda kutabasamu huyooooo
Niseme Nini Mimi na ninavyopenda kukukiss wanguβ₯οΈπOooh kuna crush wangu ana meno meupe na fizi nyeusi
Miss you more, Darling.β₯οΈBebe mic u, πππ
NimechekaHuu uzi sijausoma wote, nimesoma paragraph ya kwanza na ya mwisho.... In general ushoga na usagaji ni kitu kibaya sana... Mwandishi jitahidi kulinda mgongo.
Mboo ilivyo tamu na yenye joto wewe unaangaika na wanawake wenzio huoni kwamba una kitu unakosaHebu hukooooooo
Kuombewa ni jambo moja kuwa na msimamo ni jambo lingine kama ambavyo unaweza kulinda Malinda ndio hiyo hiyo nguvu itumie kutoingia kwenye mambo ya usagaji na Bahati mbaya ukiingia huko kutoka ni ngumu ni kama kutumia madawa ya kulevya huyo mwenyewe aliwahi kusema anataka kuacha humu jamvini lakini kashindwa njia pekee ya kujilinda ni kutoingia kabisa ukiachana na kuwa unapata laana, unapoteza hamu na wanaume upo tayari kuwa single mpaka unakuwa Mzee? Kisimi chako kinakuwa sugu taste yako ya asili kama mwanamke inapotea hakuna Mwanaume anaweza kupata utamu akisex na wewe.Tuombeane mkuu
Mkuu kwani ni kipi kinakuchekesha π π€£πNimecheka
Kwani ulishakula msagaji mkuu!! Maana umeandika kama una uzoefu na wasagaji,Kuombewa ni jambo moja kuwa na msimamo ni jambo lingine kama ambavyo unaweza kulinda Malinda ndio hiyo hiyo nguvu itumie kutoingia kwenye mambo ya usagaji na Bahati mbaya ukiingia huko kutoka ni ngumu ni kama kutumia madawa ya kulevya huyo mwenyewe aliwahi kusema anataka kuacha humu jamvini lakini kashindwa njia pekee ya kujilinda ni kutoingia kabisa ukiachana na kuwa unapata laana, unapoteza hamu na wanaume upo tayari kuwa single mpaka unakuwa Mzee? Kisimi chako kinakuwa sugu taste yako ya asili kama mwanamke inapotea hakuna Mwanaume anaweza kupata utamu akisex na wewe.
ππππ umenitusi kimkakati aisee.Nilimuona kijana mmoja pale vingunguti ana ndevu kama brush ya chachandu kumbe ni wewe..... zinyoe bhanaaaa
Kazi yangu nikumpa ushauri mtu awe kwenye njia sahihi suala la kuchukua au kutokuchukua lina baki kuwa lako any consequences zinabaki kuwa yako mostly sio anaekukoboa au wanakuzungukaKwani ulishakula msagaji mkuu!! Maana umeandika kama una uzoefu na wasagaji,