MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,593
Hapa ndo niipendeapo JF, hata kama tanesco wamekuudhi unaishia kufurahi.weka titlle..wewe hujasoma shule? kuna maswali ulikuwa unaulizwa unapewa short story then unaambiwa ui tittle..andika hata saint ivuga loves afrodenz..
acha vituko mj01
title ingekuwa mwanaume ku provide....
mimi binafsi nakubaliana kwa asilimia 100
but tatizo ni je kama mtu hana uwezo je????
mimi napenda kama uwezo upo,mtu aprovide kila kitu
tazama waarabu na wake zao
sisi waswahili kushindana na wake zetu inapunguza upendo,heshima na hadhi yetu
mbele ya jamii zingine.......
WanaJF nawaamkua!!
Nimekosa Title ya Thread.........
Nimekaa hapa jioni hii nasoma Parents Issue no 299 ya June 2011; pg 56 Article iliyoandikwa kwenye Section ya "Men Only" kuna makala iloandikwa na Christopher Maina............. Makala hii ya kiingereza ina kichwa cha Habari kisemacho ."A man should provide for his wife. PERIOD"........
Makala hii inaanza kwa kuainisha umuhimu wa wapenzi/wanandoa kuzungumzia masuala yahusuyo finances na zaidi inaelezea umuhimu wa kila mwanandoa kuchangia katika mkate wa kila siku kwa familia yao!! HATA HIVYO makala hii inaainisha wazi kuwa Wanaume wana njia kuu mbili za kuwa'impress' wake/wanawake zao, nazo ni;
1. Kupitia tendo a ndoa (kumfurahisha/kukidhi haja za mkewe/mwanamke wake kitendo) na
2. Kuweza kumtimizia mahitaji ya Mke/mwanamke wake matumizi (hapa imeandikwa nanukuu..' providing for her upkeeping, including her offspring and relatives - everything else including loving her mother and father are included in this front).........mwisho wa kunukuu!
Kupitia njia hizi Mwanaume amekuwa akijiinua na kuonyesha uanamume wake (Man's ego...)
Nina maswali mawili makuu;
1. Je hii ni kweli??
2. Kama ni kweli hiki anachozungumzia Bwana Maina, tusemeje pale ambapo wanawake wengi sio kwamba tu wanalalamika juu ya 'kutoridhishwa kwao kitendo" lakini pia waume zao wanashindwa kuwatimizia mahitaji mengine muhimu kama ilivyowekwa hapo?
Kweli kabisa the boc mashindano kama nini sijuiacha vituko mj01
title ingekuwa mwanaume ku provide....
mimi binafsi nakubaliana kwa asilimia 100
but tatizo ni je kama mtu hana uwezo je????
mimi napenda kama uwezo upo,mtu aprovide kila kitu
tazama waarabu na wake zao
sisi waswahili kushindana na wake zetu inapunguza upendo,heshima na hadhi yetu
mbele ya jamii zingine.......
weka titlle..wewe hujasoma shule? kuna maswali ulikuwa unaulizwa unapewa short story then unaambiwa ui tittle..
andika hata
saint ivuga loves afrodenz..
Au ungeweka First Born loves Ashadii as his sister and loves cheusi mangala as his grandmon, Husninyo as his Darling, The Boss as his uncle, Lizzy as his sweetie, saint ivuga as bro, afrodenz as shemeji, Preta as his beibei. Hahahahahahahahahahahahahahah, itakuwa ndefu sana
Hata mwanamke angekuwa Prezida....bado atategemea hayo mambo aliyoyataja MJ1 toka kwa mume wake
acha vituko mj01
title ingekuwa mwanaume ku provide....
mimi binafsi nakubaliana kwa asilimia 100
but tatizo ni je kama mtu hana uwezo je????
mimi napenda kama uwezo upo,mtu aprovide kila kitu
tazama waarabu na wake zao
sisi waswahili kushindana na wake zetu inapunguza upendo,heshima na hadhi yetu
mbele ya jamii zingine.......
Hapo unaongelea masculine ambayo wanaume wengi wa kizazi hiki wana lack. Nilielezea kwa undani kwenye thread ya Lizzy jana, I can't repeat it here. Sorry.
Nakubalina na wewe 100 kwa 100..zaidi ya wabunge wetu na comedy zao!!
Kama huna uwezo basi inabidi uwe mpole na kusubiri mfadhiri yeyote ajitokeze kukusaidia....Kwa vyovyote vile hayo ni maumivu t0
Hata mwanamke angekuwa Prezida....bado atategemea hayo mambo aliyoyataja MJ1 toka kwa mume wake...Ila kama mwanamume hawezi kutimizza hilo la kwanza basi abaki tu kulea watoto kama shamba boy!!
title ni Men Must Provide to his Wife during Period...
Kweli kabisa the boc mashindano kama nini sijui
kila mtu anajifanya anajua, hasa wanawake wengi waliosomea
mambo fulani hivi.......... hawa ndio wabishi utadhani wanajua
kila kitu, maadam wanajua haki zao baasi, wanafikiria hiyo pia
ina aply kwenye ndoa, mwanamke akiwa na kazi nzuri baaasi
atataka hata majukumu yasiyo yake ayabebe yoooote ili tu kuonyesha kwamba na yeye anaweza
Mie bwana napenda mwanaume anayejituma kuhakikisha familia yake mikono imeenda kinywani
haijalishi ana nini na anafanya nini, ila ajitahidi kadri ya uwezo wake, na yanayobakia mwanamke anaweza saidia
ila tu, narudia wale tu, wanawake wao wenye uwezo sana kupita wao inaweza kuwa tofauti, ila pia wawe makini sababu mwanaume
hulka yake ni kumiliki mtu na kumtunza kwa kila kitu..hapo atajihisi kuna kitu kimepungua tu, ndio pale anatafuta, na yeye hata wa kuhonga kanga na kumpangia chumba kimoja, ili nae akiingia aonekane anamiliki kila kitu kwa asilimia 100