A living reincarnation, rebirth..!

Ahsante mkuu kwa maelezo nimepata kitu hapa ngoja nianze ku link baina ya maelezo yako na ya wana science najua nitapata kitu kikubwa zaidi.
 
nini husababisha roho kuhama hama na kutanga tanga?
Kiingereza inaitwa unsettled mind.... Kiswahili ni vurugu za kimaono... Kulundika kichwani vitu vingi kwa wakati mmoja... Hii ni ukiwa hai........ Ukiwa mfu ni kwamba kuna lose ends umeacha duniani hivyo roho hugeuka mzimu ili kurudi kumalizia
 
Ahsante mkuu kwa maelezo nimepata kitu hapa ngoja nianze ku link baina ya maelezo yako na ya wana science najua nitapata kitu kikubwa zaidi.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hahaahaha et "michezo ya roho katika kuvinjari kwake""[emoji23]

By the mimi zaman nilikua nakimutwa sana na hyo ya kufika sehem kwa mara ya kwanza na kuanza kuhisi kabisa nilisha wai kifika hapo mahala before...

Sasa kasheshe ni siku hz tena karibu kila week......

Nakuwa nafanya kitu au naongea maneno flan afu gafla natulia nakuanza kukumbuka kabisa kama "hiki kitu niliwahi kufanya afu nilipofanya ikatokea jambo flan...."". yn kuthibitisha hilo unakuta kweli baada ya mda kile nilichowaza kwamba kilitokea baada ya mm kufanya jambo flani ambalo sasa kiuhalisia ndo nimeshafanya mda mfupi ulopita nashangaa kinatokea kweli.........!!!!! daaaahh huwa nawaza sana why...
 
Tunaishi maisha mengi bila kujijua... Roho zetu zina uwezo wa kutoa nakala yenye uhai japo server inabaki kuwa moja
 
Tunaishi maisha mengi bila kujijua... Roho zetu zina uwezo wa kutoa nakala yenye uhai japo server inabaki kuwa moja
ingawa huwa najiuliza sana....kama roho zetu zinaweza kutoka nakwenda misele tukiwa hai vp tukifa je?? na kama wanasema hata mtu akifa roho inatoka moja kwa moja kwenda kuzurura....ni kipi kinachosemekana hupata adhabu ya kaburi pale wakt roho imechapa rapa haipo pale???
 
Kwanza kinachokufa ni mwili uharibikao... Roho haifi
Dhana ya peponi na jehanum iko pale kaburini... Ibada za makaburini haimsaidii marehemu kufuta dhambi zake bali kuifanya roho itulie pembeni ya mwili.. Hii ni dhana ya peponi.... Roho inayotangatanga baada ya kifo hukutana na mengi ikiwemo ya kugeuka mzimu hii ni dhana ya jehanum
 
Aisee.......Nataman siku ijekutokea mtu aliekufa for real afufuke atusimulie the things happen in there.........!!!
 
Haiwezekani kabisa kwakuwa mwili unakuwa umeshaoza
mmmhh lkn nimesikia mara kibao watu wanadaiwa walikufa wakaenda kwa mungu...Mungu akawambia rudini mkawasimulie watu kuhusu huku mbinguni.......[emoji16][emoji16] sasa cjui ni vp
 
mmmhh lkn nimesikia mara kibao watu wanadaiwa walikufa wakaenda kwa mungu...Mungu akawambia rudini mkawasimulie watu kuhusu huku mbinguni.......[emoji16][emoji16] sasa cjui ni vp
[emoji23] [emoji23] [emoji23] iko hivi hizi dhana za Mungu yuko mahali fulani tunadanganyana sana... Mungu tunaye hapa na popote pale... Yeye ni nishati roho.. Zile ni hallucinations zao tu kutengeneza picha na kuipa uhalisia
 
Hii thread imenipa maswali mapya.
Kwa mara ya kwanza nilitoka nje ya DSM nikiwa naenda Moshi kwa ajili ya masomo ya A-level katika shule moja ya boys,,nikiwa kidato cha 6 tulialikwa kwenya mahafali katika shule ya wasichana ya Ashira.sijawahi kufika tangu nizaliwe lakini nilikuwa mwenyeji wa yale mazingira,ata nilioenda nao walishangaa nilipowaambia sijawahi kufika maana ndio nilikuwa nawaelekeza njia mpaka tunafika.Tukiwa njiani nilikutana na mzee mmoja ambaye alionekana kushtuka aliponiona na alikuwa kama mtu anayetaka kuniuliza kitu,haikuwa sura ngeni,ni sura niliyoizoea lakini sikumbuki niliiona wapi.
Nilipomaliza mitihani niliamua kurudi tena mwenyewe,niliizunguka Marangu kwa miguu,nikafika mahali ambapo sijawahi kukanyaga tangu nizaliwe lakini sikuwa mgeni,napafahamu..Mwishowe niliamua kujijibu labda paliwahi kuja ndotoni sababu tangu naenda Moshi kidato cha 5 Marangu ndio sehemu niliyokuwa natamani kufika
 
Sisi ni zaidi ya tunavyojifahamu... Na roho zetu ni zaidi ya tuzijuavyo
 
mshana we unaamini kipi katika hzo dhana mbili..........what is truly happening down there?? reincarnation or rebirth??
 
Wachina na wahindi wanaamini wakifa huwa roho yao hubadilika na kuwa viumbe vingine kulinga na madhambi yao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…