siyo ulihifadhi anaitwa Abeid
Jibu likuwapi mpendwa
My beloved country Tanzania. Why HAIFU is destructing you? Where is peace said you are an Island of?
Yan haya ni mauaji kbisa na tunahitaji tamko la serikali kwa hili.
Kumbe ndio maana ya msemo wa liwalo na liwe.
kwenda zako huna jipya wewe usilete siasa zako za kijijini hukuSasa rais ajiuzulu kwa kipi hasa?
Mimi nadhani ingekuwa busara mheshimiwa kiongozi wa madaktari Dr Ulimboka ajiuzulu mara moja kwa sababu wakati anafanya mazungumzo na hao jamaa kama alizungumza nao kama mwakilishi wa madaktari bila kupata idhini ya chama cha madaktari ni makosa makubwa!!
Hivi kwani ni lazima jk amalize mda wake? Katiba inasemaje pale kiongozi wa nchi anaposhindwa kuongoza?
Comando Uli has become an "enemy of state"
"Ndugu zangu,
Najaribu kutuliza mawazo ili angalau niweze kuwapa kidogo tulipofikia na tunakoelekea juu ya suala hili. Kwa kweli haivumiliki ukimwona ulimboka kwa jinsi alivyotendewa na hali aliyonayo; kwa wale wanaojua hali za kitabibu, "this is a very unstable condition that demands permanent watch 24/7".
Kwa taarifa tulizokusanya, ulimboka na mwenzake waliitwa na Afisa mmoja (Jina linahifadhiwa) ili kuzungumza mambo (fulani) na wakiwa wanaendelea na mazungumzo bila kuwa na mwelekeo wa muafaka, jamaa akawasiliana na watu (fulani) kwa simu. Ghafla wakajitokeza "ASKARI" wakawataka yule (Afisa) na Dr (aliyeongozana na Ulimboka) waendelee na shughuli zao na kuwambia "Tunamtaka huyu". Wakatumia nguvu, wakamburuta na kumtia kwenye gari jeusi na kuondoka naye wakidai wanampeleka Polisi.
Huku wakiwa wanamtesa, walimlazimisha mambo kadhaa (kwa sasa tusiyataje) wakaenda naye asikokujua, wakampiga sana kwa ngumi, mateke na magongo na wakati mwengine wakitumia Bunduki zao. Wakiwa wanampiga pia walikuwa wakisema kuwa amewatesa/wasumbua sana na kuwa anajifanya mjanja mbele ya (Srk) na hivyo wanamalizana naye; akapoteza fahamu...
Wakamtupa eneo la mapori huko Tegeta hadi alipookotwa na wananchi asubuhi na kukabidhiwa mikononi mwa Wanaharakati waliompeleka Hospitali Muhimbili.
Wakati akipokelewa MOI tayari baadhi ya wanaharakati walishafika eneo lile, kumbe kati ya walimpokea alikuwamo kijana anayesadikiwa kuwa ni "Askari". Huyu aligundulika baada ya mda mfupi akiwa amejificha chooni akiwasiliana kwa simu na watu aliokuwa akiwaambia " Hajafa. Bado anahema.... na maneno mengine yaliyoashiria kuwa waliofanya 'kazi' ile hawakukamilisha 'maagizo'. Vijana wakamfundisha adabu kwa hasira na kumkuta akiwa na RedioCall, ambayo baada ya muda mfupi Polisi FFU walifika na gari na vifaa vya vurugu wakiisaka ile Radio.
Nashindwa kuendelea....."
NB: Haya ni maelezo ya mwanaharakati Albanie Marcossy aliyehusika kumsaka kama nilivyoyanukuu Mabadiliko Forums.
SEMA KWANZA UFISADI MNAOUFANYA WEWE NA CHAMA CHENU CHA CCM AMBAO NDIO CHANZO CHA MIGOMO YOTE ILIYOKWISHA TOKEA,INAYOTOKEA/ENDELEA NA ITAKAYO KUJA KUFANYIKA SOON.Mbona watu kibao wanakufa kwa ajili ya yeye kuhamasisha mgomo hamsemi? na una uhakika upi ni serikali ? je unajua kuna maadui angapi wake ?
uenda kapewa adhabu kubwa hivyo wakidhani anawakilisha chadema leo bungeni kiwia kalisema la ulimboka akuna aliyeomba muongozo adhibitishe ndugai alitaka kumueleza kiwia adhibitishe akabonyezwa asiendelee kumuuliza la ulimboka ikaishia hewani cdm makao makuu mnakauli gani juu ya hili na kama chama nini kifanyike?
If they wanted him DEAD, he'd be dead by now, na mngekuwa mnaongea mambo mengine kabisa.......probably, they still need him for something..........the big question is wat is it??
and kimtazamo wangu, 1st, wat has bin done to him isnt fair, Unless, he(ulimboka) framed it....najua kwa hili, wengi mtanilaumu, but mkisoma stories nyingi kama hizi, mtaona, ulimboka hatokuwa wa kwanza, kufake something like this, but FOR GOOD REASONS..............cause, seriously, kama wangetaka afe, angekufa longtym........
2dnly, killing one person for the benefit of two or more people, i find it reasonable................