mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
hivi tuko tanzania au afghanistan? siamini ninayoyasoma hapo juu
Mimi hapo penye red ndo panaponifanya nishangae sana juu ya hii skendo. Hata kwenye ile thread nyingine nilijikuta nashindwa kuamini kama serikali imehusika.
Swali langu ni kuwa "Ulimboka alitekwa peke yake, na baada ya kuokotwa alikuwa hana fahamu na hawezi kuongea. Je, haya yaliyomtokea kayasema nani?
Tatizo watu wanafikiri vyama ndi vitawakomboa, hii ndio shida yetusio CDM sema watanzania tuna kauli gani juu ya hili kwa nn cdm???
Huyo Dr Ulimboka siyo COMANDO,atakuwa ni mla rushwa (CORRUPT) sana na inavyoonekana anaweza kuwauza wenzake.Nasema hivyo kwa sababu ukiiangalia hii incidence unaona kuwa huyu Dr Ulimboka ana tamaa ya pesa na anaendesha mgomo kwa kushawishi wenzake ili anufaike binafsi.Nasema hivyo kwa sababu hebu fikiria kwa akili ya kawaida tu,wewe una ishu kubwa kama hiyo ya mgomo,halagu unaitwa na mtu usiyemjua ili mkafanye reconcilliation na wewe unaenda tena peke yako!!!!.Bila shaka ni reconcilliation kuhusu mgomo.Hapo naona kuwa anaweza kuitwa na watu asiowajua na yeye akaenda tena peke yake!!!!.Baada ya hapo anaweza kuwageuka wenzake.HAFAI KABISA ANASUMBULIWA NA TAMAA NA NJAA TU.
Wakati akipokelewa MOI tayari baadhi ya wanaharakati walishafika eneo lile said:. [/I]
Mama Heleni Kidjo bisimba mungu akujalie Kwa ujasiri ulionao kama Njelekela na Mwafongo aliadhibiwa kwa kuwa na watoto madawa ya kulevya wanaweza kukataa kutoa gari lakini wewe ukaweza kumsaidia tunakupongeza sana wewe ni Mwanamke jasiri wa Mfano nchii hii
Kama hali ni hii basi wananchi wote wake kwa waume kesho tuanze kukusanyika viwanja vya JANGWANI(TAHIR SQUARE) kuanzia saa 2 asubuhi ili kuilazimisha serikali iliyo madarakani kujiuzuru....Hii ni nchi yetu wote.
Mkuu wa emergency dept anazuia gari kwenda kumchukua Daktari mwenzake aliyeokotwa akiwa hajitambui?
Aisee ndiyo maana migomo yenu haifanikiwi wakuu...
Kwa nini Jakaya bwana?! Wa kujiuzulu kwa hili ni Mizengo Pinda kwani yeye ndie aliyetoa public statement pale Muhimbili na hii ya leo bungeni ya LIWALO NA LIWE. mtoto wa mkulima kumbe muuaji, kweli umdhaniaye ndiye kumbe siye!
Mimi hapo penye red ndo panaponifanya nishangae sana juu ya hii skendo. Hata kwenye ile thread nyingine nilijikuta nashindwa kuamini kama serikali imehusika.
Swali langu ni kuwa "Ulimboka alitekwa peke yake, na baada ya kuokotwa alikuwa hana fahamu na hawezi kuongea. Je, haya yaliyomtokea kayasema nani?
If they wanted him DEAD, he'd be dead by now, na mngekuwa mnaongea mambo mengine kabisa.......probably, they still need him for something..........the big question is wat is it??
and kimtazamo wangu, 1st, wat has bin done to him isnt fair, Unless, he(ulimboka) framed it....najua kwa hili, wengi mtanilaumu, but mkisoma stories nyingi kama hizi, mtaona, ulimboka hatokuwa wa kwanza, kufake something like this, but FOR GOOD REASONS..............cause, seriously, kama wangetaka afe, angekufa longtym........
2dnly, killing one person for the benefit of two or more people, i find it reasonable................
wanapaswa kutoa huduma hospita ni ulimboka peke yake?hao ambao hawakutoa idhini wenye undugu na magamba wangeenda kutoa huyo huduma.umezuchanga kweli keo.mida ndo hiyo elekea jengo la kijani kamhudumie nape.Sasa rais ajiuzulu kwa kipi hasa?
Mimi nadhani ingekuwa busara mheshimiwa kiongozi wa madaktari Dr Ulimboka ajiuzulu mara moja kwa sababu wakati anafanya mazungumzo na hao jamaa kama alizungumza nao kama mwakilishi wa madaktari bila kupata idhini ya chama cha madaktari ni makosa makubwa!!
By Maundumula Sasa rais ajiuzulu kwa kipi hasa?
Mimi nadhani ingekuwa busara mheshimiwa kiongozi wa madaktari Dr Ulimboka ajiuzulu mara moja kwa sababu wakati anafanya mazungumzo na hao jamaa kama alizungumza nao kama mwakilishi wa madaktari bila kupata idhini ya chama cha madaktari ni makosa makubwa!!