A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

Mh ! Au labda ni waliopoteza kazi kwa ajili ya Mvt ya modoctor !....... just thinkin loudly
 
Ikiwa serikali ya Kikwete imehusika au haikuhusika ,basi Raisi Jakaya hana budi kujiuzulu kiungwana kabisa . Raisi awe Muungwana ajiuzulu bila ya tatizo lolote.Na hili litapokewa kwa ukunjufu kabisa.Ili kupisha uchunguzi

Wewe si ndiye uliyempigia debe kwa udi na uvumba wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010? Sasa iweje tena leo useme ajiuzuru? Kwani wakati unampigia debe hukujua ni mbovu kiasi gani? Kwanza waombe radhi watanzania wanaotaabika kutokana na ukatili wa huyu raisi wako dhaifu uliyempigania hadi anapata urais.
 
atakuwa refa mechi ya wabunge(wa simba) vs wabunge(wa yanga)
 
wao wana silaha na majeshi sisi tuna mungu hamna kitu iliniudhunisha kama hii habari....kikwete,ccm and pinda will pay for this blood of innocent people
 
Hapa sasa Nick Santora wa fox anaweza make movie out of this mess, anyway huu ndio mwanzo wa AFRICAN SPRING....IF NOT SUMMER
 
Yan haya ni mauaji kbisa na tunahitaji tamko la serikali kwa hili.

Kumbe ndio maana ya msemo wa liwalo na liwe.

Dr ulimboka kwa Imani yangu katika Mungu ninety makini ten a Mungu aliyehai assiyeala usingizi mailing nakuombea upone haraka ameni .lakini hata ukifa damu yako niondoleo la utawala wa kidnaping wa serikali ya CCM.nafarijika kusema mane no ya hekima kwamba'tunapohisi KUFA natufanye hivyo kwa ujasiri mkubwa maana watu wengi wamesikia kilio cheat tutakapodondoka na silaha zebu watu wataokota na kuendeleza mapambano.kwa kauli hii na iambi serikali hii kuwa machida waliomfanyia dr ulimboka ni mwanzo wa cheche ambazo iota chochea vurugu kubwa kama z misri.
 
Yan haya mambo sio yakuvumilika kabisa.
 
Ikiwa serikali ya Kikwete imehusika au haikuhusika ,basi Raisi Jakaya hana budi kujiuzulu kiungwana kabisa . Raisi awe Muungwana ajiuzulu bila ya tatizo lolote.Na hili litapokewa kwa ukunjufu kabisa.Ili kupisha uchunguzi

Kwa nini Jakaya bwana?! Wa kujiuzulu kwa hili ni Mizengo Pinda kwani yeye ndie aliyetoa public statement pale Muhimbili na hii ya leo bungeni ya LIWALO NA LIWE. mtoto wa mkulima kumbe muuaji, kweli umdhaniaye ndiye kumbe siye!
 
Ikiwa serikali ya Kikwete imehusika au haikuhusika ,basi Raisi Jakaya hana budi kujiuzulu kiungwana kabisa . Raisi awe Muungwana ajiuzulu bila ya tatizo lolote.Na hili litapokewa kwa ukunjufu kabisa.Ili kupisha uchunguzi
Sio kama serikali kitendo hiki na cha serikali aambie umma kama yeye alijua au alijihusisha na huu mpango yeye na serikali yake waondoke hatufai tena. Hakuna Jambazi atakayemtaka Dr muda huu kwa lipi. Somebody has to pay TIME HAS COME ENOUGH IS ENOUGH, how long they will kill our people while standby looking. Is a time to stiffen our back and SAY NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Mkuu, Mungu akusaidie sana akupe ufahamu na busara za kutosha kuona kwamba alichotendewa Ulimboka sii haki hata kidogo. Leo ni kwa Ulimboka, kesho yaweza kuwa kwako. Hawa wauaji wakija kwako kesho na kuitaka roho yako kwa ajili ya manufaa ya hao wawili au watatu kama ulivyosema, je utakuwa tayari kupokea kwa moyo wa shukrani? Because it is reasonable eh??


 
naunga mkono hoja hatutiki raisi na serikali ya kimafi kama ya huyu dhaifu kikwete
 
Hivi kwani ni lazima jk amalize mda wake? Katiba inasemaje pale kiongozi wa nchi anaposhindwa kuongoza?
 

Mbona watu kibao wanakufa kwa ajili ya yeye kuhamasisha mgomo hamsemi? na una uhakika upi ni serikali ? je unajua kuna maadui angapi wake ?
 
mawazo yako ukichanganya na wengine wawili hv ndo mtoe tamko hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…