Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,983
je una taarifa za hali ya Dr. ulimboka?
Jamani naona watu mmecharge kama mafahali wawili ndani ya zizi! Ni vizuri kuwa na tahadhari kumhusisha Rais na kutekwa kwa Dr. Yes uongozi wake una matatizo lakini kumhusisha na hili jambo tunakwenda mbali. Kikwete si mtu wa visasi vya namna hii. Ana njia nyingi tu kama angetaka za kumdhibiti Dr. na asingekuwa na haja ya kutumia njia ya aibu namna ile.
Mtu anayesababisha shida ya madaktari ni waziri mkuu. Ameshidwa kumshauri rais ipasavyo kwenye jambo hili.
Mi niko tofauti kidogo. Mambo yaende kimyakimya message inasomwa vizuri sana. Kuandamana sawa, lakini serikali za miafrika zinachomekea maneno tofauti na kubadili maana. Sasa tunangojea manesi waweke silaha chini, wafamasia, maabara na kila mahali, walete wachina wao watibu mpaka kwenye zahanati, maana wanakubali kwamba tatizo lipo na pesa ipo lakini sio ya kuboreshea huduma za afya, ila kuwalipa wachina na yeyote kutoka nje ya nchi na au majeshi.
Wananchi ni kuandamana kwao ni katika kususia serikali dhaifu kwa kuwaweka kando na kuingiza serikali nyingine nayo tuione inaendeshaje. Tanzania ni tajiri sana ila viongozi wake ni wanafiki sana na wabinafsi sana.
Watu wa haki za binadamu waendelee kupigia kelele mabadiliko yaje, lakini Katiba mpya iwe kiboko sahihi kwa viongozi wabovu kama tulio nao sasa.
Angekuwa na akili asingeweka mguu wake Muhimbili kumwona Dr.Ulimboka,possibility ya kummalizia haospitali ni kubwa zaidi.
Maneno yako ni sawa mkuu. Ndiyo maana nikasema jambo litizamwe kwa pande zote mbili ili kuziba uwezekano wa mianya inayoweza kumfanya muhusika mkuu akasevu kisanga. Nautizama upande wa pili pia kwa sababu njama yenyewe na utekelezaje wake haijakaa ki serikali serikali, imefanywa ki huni huni hivi.
My beloved country Tanzania. Why DHAIFU is destructing you? Where is peace said you are an Island of?
Hakuna mwenye uwezo wowote wa kuweza kumzuia Mkuu wa nchi kumuona mpiga kuwa wake ambaye ni mwananchi. Kumbukni Kikwete ni rais wa wote kwa umoja wenu.
Hapa nakumbuka wale waliosifia na kunasibisha UAMSHO na uchomaji makanisa. Sasa kwa kisa hichi watasemaje? Au UAMSHO walikuja kumsurubu?
Jamani naona watu mmecharge kama mafahali wawili ndani ya zizi! Ni vizuri kuwa na tahadhari kumhusisha Rais na kutekwa kwa Dr. Yes uongozi wake una matatizo lakini kumhusisha na hili jambo tunakwenda mbali. Kikwete si mtu wa visasi vya namna hii. Ana njia nyingi tu kama angetaka za kumdhibiti Dr. na asingekuwa na haja ya kutumia njia ya aibu namna ile.
Mtu anayesababisha shida ya madaktari ni waziri mkuu. Ameshidwa kumshauri rais ipasavyo kwenye jambo hili.
wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.