Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 744
Mazingira na mpango wa tukio haukutekelezwa kitaalamu kwa kiwango cha wale wenye kazi hiyo unaofikiria wewe. Lazima tutizame pande zote kwani mpango na njama yenyewe haikufanywa kitaalamu. Tunakumbuka wengi waliokufa katika mazingira tata mfano Kolimba, Katabalo nk. Inaonekana waliofanya tukio hili hawana uzoefu unaomaanisha wewe.
Nadhani, tatizo ninaloliona mimi ni kuwa, Jamaa wanaongozwa na inteligence information zaidi, na kila wanapo-atempt kupata information from unofficial sources, wamekuwa wakilaumiwa kuwa wanafanyia kazi tetesi na uzushi. So what does the inteligence briefing contains? Na kwa JK naona ni mtu ambaye yuko so sensitive (si unafiki hasa) kwakuwa mwanzoni aliingizwa mkenge mara nyingi sana, so hutumia muda wa kutosha kabla ya kutoa conclussion, ndiyo staili yake ya utawala. Kwa Pinda yeye ni ""Liwalo na Liwe" na ni mtiifu kiasi kwamba akiambiwa kula M... anaweza akala. Haya ndiyo ma-strengths na Ma-weaknesses. So Wote hawa sio wabaya katika swala la Utawala bora, ila ni very vulnerable kwa watu ambao wanatumia mbinu ya uadui katika politics. Tatizo na faida ya JK ni kwamba haijalishi kiongozi wake alisema nini in the public au alitoa msimamo gani, akija yeye atasema anachojua yeye, hata kama ni against kile cha kiongozi mwenzake (tabia ambayo ameiambukiza hata kwa chama chake, no such a thing as common positon). Usishangae akaibuka in the last minutes kutuliza mgomo huu.Kwa mtazamo huo basi, washukiwa wa kwanza unafikiri ni kina nani? Kinachoniumiza ni kushindwa kwa serikali kumaliza matatizo ya madaktari kwa diplomasia.Badala yake kufanya kitendo kama hicho baada ya kutishiana nani ndiye mshukiwa mkuu?
Hivi nyinyi mnazungumzia vituo vya polisi vya TANZANIA ambavyo vingi havina hata magari ya kuwapeleka waliojeruhiwa hospitalini haraka hiyo siyo kwa Dr tu hata Raia wote mara nyingi wanakumbana na tatizo hilo wanapopelekwa vituoni.Nijuavyo mimi katika hali ile regardless who it was Kituo cha Tegeta as a matter of procedure walitakiwa wampeleke hospitali. Cha kushangaza tunaona Mwanaharakati wa haki za binadamu ndo aliyekwenda kumpeleka hospitali
Pia kuhusika kwa mtu toka ikulu
Pia state propaganda machinery TV ya taifa haikucover hiyo story
Pia kauli ya Pinda before and after the incident
Awali ya yote yatupasa kumpa pole na kumuombea apone haraka dakatari wetu huyu bwana Ulimboka na walaaniwe kwa nguvu zote wale wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine.
Wengi wetu kwa asilimia kubwa tumekuwa na imani kuwa, utekelezaji wa jambo hilo ni njama au mkakati wa serikali kupunguza kasi ya harakati za madaktari katika kudai haki zao.
Tunapoihusisha moja kwa moja serikali kwa upande mmoja wa mbele, hebu tugeuke nyuma na kuangalia upande wa pili.
Bila shaka Dk Ulimboka alikuwa na maadui wa hatari wenye chuki binafsi naye hasa kipindi cha vugu vugu hili la migomo ya madaktari. Kuna watu waliopoteza madaraka yao matamu kutokana na kadhia hii, upo uwezekano wa kupanga njama za kulipiza kisasi.
Kutumika polisi si kitu mbele ya pesa. Ukiwa na fungu la kutosha ukitaka kuwatumia polisi njaa kwa ajili ya uhalifu unawatumia bila shida. Ikiwa wapo ambao hufanya ujambazi na kupora mali za watu, itakuwa hawa wa kukodiwa! Tugawanye fikra na mitazamo yetu, wakati tunaitupia jicho la mashaka serikali.
Tuangalie na upande wa pili, wale waliomwaga unga kutokana na harakati hizi tunawachukuliaje? Hapa mhalifu halisi anaweza kujificha chini ya kivuli cha serikali.
Mwisho napenda niwapongeza madaktari wote waliotoa kichapo kwa mtu anayedhaniwa kuwa alikuwa mmoja wa wateka nyara.
Mungu msaidie Dk Ulimboka apone haraka ili aendelee na harakati zake.
Ukiona hakuna tamko lolote la CCM wala Bakwata kulaani unyama huu, wala huwezi kuangaika kujuwa kwamba hii ni "Inside Job".
Nadhani, tatizo ninaloliona mimi ni kuwa, Jamaa wanaongozwa na inteligence information zaidi, na kila wanapo-atempt kupata information from unofficial sources, wamekuwa wakilaumiwa kuwa wanafanyia kazi tetesi na uzushi. So what does the inteligence briefing contains? Na kwa JK naona ni mtu ambaye yuko so sensitive (si unafiki hasa) kwakuwa mwanzoni aliingizwa mkenge mara nyingi sana, so hutumia muda wa kutosha kabla ya kutoa conclussion, ndiyo staili yake ya utawala. Kwa Pinda yeye ni ""Liwalo na Liwe" na ni mtiifu kiasi kwamba akiambiwa kula M... anaweza akala. Haya ndiyo ma-strengths na Ma-weaknesses. So Wote hawa sio wabaya katika swala la Utawala bora, ila ni very vulnerable kwa watu ambao wanatumia mbinu ya uadui katika politics. Tatizo na faida ya JK ni kwamba haijalishi kiongozi wake alisema nini in the public au alitoa msimamo gani, akija yeye atasema anachojua yeye, hata kama ni against kile cha kiongozi mwenzake (tabia ambayo ameiambukiza hata kwa chama chake, no such a thing as common positon). Usishangae akaibuka in the last minutes kutuliza mgomo huu.
Mazingira na mpango wa tukio haukutekelezwa kitaalamu kwa kiwango cha wale wenye kazi hiyo unaofikiria wewe. Lazima tutizame pande zote kwani mpango na njama yenyewe haikufanywa kitaalamu. Tunakumbuka wengi waliokufa katika mazingira tata mfano Kolimba, Katabalo nk. Inaonekana waliofanya tukio hili hawana uzoefu unaomaanisha wewe.
naandika haya kwa hasira na machozi yakinitoka kama kweli yupo mungu wa eliya mungu wa ibrahimu, isaka na yakobo hii serikali inatakiwa kung'oka madarakani kwa nguvu ya umma mapema iwezekanavyo haiwezekani kila sauti itakayonyanyuka kutetea wanyonge wao wanaizimisha. Kwa hili hatuwezi kulikubali hata kidogo. Watanzania kama mtalinyamazia hakika damu ya watu hawa itakuwa juu ya vichwa vyenu na uzao wenu. Yuko wapi captain kombe? Wapi horas kolimba? Sokoine na wengine?
acha uhuni, kwa hiyo hata wali polisi walioingia msikitini mwembechai inawezekana hawakupata ruhusa serikalini ni watu tu walikuwa wanawatumia?Awali ya yote yatupasa kumpa pole na kumuombea apone haraka dakatari wetu huyu bwana Ulimboka na walaaniwe kwa nguvu zote wale wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine.
Wengi wetu kwa asilimia kubwa tumekuwa na imani kuwa, utekelezaji wa jambo hilo ni njama au mkakati wa serikali kupunguza kasi ya harakati za madaktari katika kudai haki zao.
Tunapoihusisha moja kwa moja serikali kwa upande mmoja wa mbele, hebu tugeuke nyuma na kuangalia upande wa pili.
Bila shaka Dk Ulimboka alikuwa na maadui wa hatari wenye chuki binafsi naye hasa kipindi cha vugu vugu hili la migomo ya madaktari. Kuna watu waliopoteza madaraka yao matamu kutokana na kadhia hii, upo uwezekano wa kupanga njama za kulipiza kisasi.
Kutumika polisi si kitu mbele ya pesa. Ukiwa na fungu la kutosha ukitaka kuwatumia polisi njaa kwa ajili ya uhalifu unawatumia bila shida. Ikiwa wapo ambao hufanya ujambazi na kupora mali za watu, itakuwa hawa wa kukodiwa! Tugawanye fikra na mitazamo yetu, wakati tunaitupia jicho la mashaka serikali.
Tuangalie na upande wa pili, wale waliomwaga unga kutokana na harakati hizi tunawachukuliaje? Hapa mhalifu halisi anaweza kujificha chini ya kivuli cha serikali.
Mwisho napenda niwapongeza madaktari wote waliotoa kichapo kwa mtu anayedhaniwa kuwa alikuwa mmoja wa wateka nyara.
Mungu msaidie Dk Ulimboka apone haraka ili aendelee na harakati zake.
3. Je watakuwa ni baadhi ya wale waliothiriwa kwa njia moja au nyingine na migomo hii?
Hayo yote myaonapo, changamkeni mkainue vichwa vyenu maana ukombozi wenu u karibu. Hii kauli aliitoa Bwana Yesu, bali leo naiandika ikimaanisha kuwa, Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa watateswa na kuumizwa pamoja na damu zao kumwagwa, na waonapo hali hiyo ya kuonewa, ndio wajue kuwa ukombozi wao umewadia. Ni vivyo kwa kila mlalahoi wa Tanzania, damu zinazomwagwa leo hii zinaashiria kabisa kuwa ukombozi umekaribia. Hakuna ukombozi usio na tone la damu, kama ambavyo tone la damu haliwezi kumwagika pasi na ukombozi.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
No doubt, moja kwa moja serikali inahusika, waliotumwa "walishindwa kutimiza wajibu" wao ipasavyo, si ajabu wakauawa wao kwa "uzembe" wa kuiaibisha serikali kwa wananchi na kimataifa. Kauli ya Pinda imetufumbua macho!
Kinachofuatia ni usanii wa Serikali lakini watajitahidi lengo la kumuondolea uhai Dr. Ulimboka litimie.
Wamethubutu, wameshindwa, sasa hawasongi mbele!-Kimenuka!
Ndahani, hawsaaaa, ila kwa mchezo ninaouona, kunauwezekano watu wakaingia kwenye mtego sijui ni akina nani hasa watakaonasa, JK na Pinda wakienda vibaya imekula kwao, lazima swala la Uwajibikaji litawakumba... Sina uhakika kama Mh Pinda alivyoongea jana kwanye Bunge, kama tayari alikuwa ameshapata inteligence briefing ya kutosha ikihusisha swala la Ulimboka?? Na kama alikuwa anajua, ile kauli ni mafuta kwenye moto. Nawasihi wtumie na waonyeshe busara na hekima ya hali ya juu ndiyo silaha pekeee yakutatua matatizo yaliyopo sasa, haijalishi chanzo
Kabla hatujaja huku Ughaibuni tulisha fanya kazi ndani ya serikali na mashirika yake.
Sijui kama unajua unaongelea usalama wa Tanzania,hawana ufahamu huo unaoufikiria wewe na wala hawawezi kuwa
na muda wa kuwaza madhara yanayoweza kutokea kwa ujinga waliofanya.Tatizo ni udhaifu wa utendaji wa serikali.
Ukombozi gani unaouongelea? tufupishe mazungumzo, je upo tayari kulipa sales tax/VAT ya 50% or so, na/au PAYE ya 50+ % kufidia madai ya madaktari? au unadhani watalipwa from where?