mr.dominick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 244
- 28
Ajitokeze mtu upande wa wanasiasa na wana-ccm atoe hoja za ni kwa nini huduma za afya zisiboreshwe sambamba na maslahi ya watumishi wa sekta hiyo kuboreshwa kama wanavyodai madaktari; kisha na mimi nitapinga kwa kuweka sababu za uungaji wangu mkono wa mgomo wa madaktari II
Kuna watu wanapotosha kwa makusudi suala la mgomo huu. Wanatoa cheap and inconsistent reasons as if madaktari ni wakatili, wabinafsi na vitu kama hivyo. Lakini hawajiulizi uhalali na mazingira ya madai ya hawa madktari. Hawataki kufikiri kuwa kwa huduma hizo mbovu mamia ya watu wanakufa kila kona systematically.
Zomba na wenzako kweli mtakuja juta kukubali kuuza nafsi (human integrety) kwa mlo wa siku chache.
wacha choko choko au umetumwa na waarabu wewe ?? Hao hawana uzalendo kwani hawaelewi hali ya uchumi wa taifa ??? Wenzao kule Zanzibar wanapokea chini ya milioni wala hawafanyi fujo zozote , hawa vibaraka wa masultani ndio wanataka kuleta fujo wawarudishe mabwana zao