93% ya mauaji ya mtu mweusi USA, yanafanywa na mtu mweusi, Black Lives Matter muuaji anapokuwa mzungu tu?

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
93% ya mauaji ya mtu mweusi USA yanafanywa na mtu mweusi mwenyewe

Pia 52% ya mauaji yote yanayofanyika USA yanafanywa na watu weusi japokuwa wao Ni 14% tu ya watu wote USA

Kuna na magenge ya wazungu Kama KKK yanayoua watu weusi kwa Sababu ya chuki ya ubaguzi

Lakini pia Kuna magenge ya wahalifu ya watu weusi kama Bloods, na Crips ambao huuana sana wenyewe kwa wenyewe kuliko weusi wanavyouawa na magenge ya weupe.

Hapa ni achilia mbali mauaji ambayo ni drug related au bifu nyingine

Mnaweza mkadai ni propaganda za wazungu kupakazia weusi lakini kama wewe ni mfuatiliaji wa habari, culture na lifestyle za weusi Marekani, kupitia shows, documentary, hata movies, hip hop na series mbalimbali ambazo zipo based on black life utakubaliana na hizi takwimu.
 
Haiondoi unyama uliofanywa na yule police. Police anatakiwa kuonyesha mfano wa uadilifu. Si yeye kufanana na hayo magenge ya uhalifu.
Unajua Gangs za hapa America zinavyoua watu kila siku? Kabla ya mauwaji ya Mr Floyd kuna bibi wa kizungu alikuwa zake cemetery anaomboleza wakaja black gang wakamuharas na hatimae wakam-shoot.

Lots of black people ambao wamezaliwa kwenye blue states ni gang members .
 
Haiondoi unyama uliofanywa na yule police. Police anatakiwa kuonyesha mfano wa uadilifu. Si yeye kufanana na hayo magenge ya uhalifu.
ncarceration by race and ethnicity[edit]
Further information: Incarceration in the United States
2010. Inmates in adult facilities, by race and ethnicity. Jails, and state and federal prisons.[59]
Race, ethnicity% of US population% of U.S.
incarcerated population
% of racial group
White (non-Hispanic)64390.45
Hispanic16191.1875
Black13402.306
Asian5.61.50.21




1591261921426.png


Conclusion: Weusi ni laana
 
Kwahiyo kuangalia movie na series ndio ukapata na majibu ya uwakika kabisa kuwa black kwa black ndio wanauwana mkuu we ni hatari zaidi ya FBI
No, statistics ndio chanzo Kikuu Cha kwanza, Ila Kuna ambao haawaamini hata statistics wao Kila kitu Ni conspiracy, nikasema Hawa wajaribu kufuatilia habari, au culture life ya blacks kupitia vitu hivyo au asafiri mwenyewe aende Marekani akafanye utafiti
 
Am not supporting what's happened lakini blacks wanahitaji msaada wa ki saikolojia au kimaadili kutokana na ukatili waliofanyiwa mda mrefu kwasababu kweli ni watu wa mazoea ya uhalifu
Kweli, lakini Kuna Blacks ambao Wazuri tu wapo dedicated kuwalimisha wenzao kuhusu attitude za hovyo na uhalifu
Watu Kama akina Umar Johnson, Louis Farrakhan etc.

Lakini pia Kuna black celebrities wenye ushawishi mkubwa ambao wanachochea huu upotofu, Kuna wanamuziki wa rap wanachochea thug life, kuuza madawa ya kulevya, na kuuana ndio uanaume

Hawa Wana influence zaidi vijana wadogo Sababu Wana hela na vitu vya kutamanisha
 
Unajua Gangs za hapa America zinavyoua watu kila siku? Kabla ya mauwaji ya Mr Floyd kuna bibi wa kizungu alikuwa zake cemetery anaomboleza wakaja black gang wakamuharas na hatimae wakam-shoot.

Lots of black people ambao wamezaliwa kwenye blue states ni gang members .
Matokeo ya mfumo wa kibaguzi ndo sababu ya uhalifu wa wamarekani weusi, watu Kama wananyimwa fulsa unategemea Nini

Majimbo ya kusini ambao ndo ngome ya Republican ndo Kuna uhalifu mwingi sana, na ndo African American wanakaa kwa wingi, utasemaje wako blue state
 
Sikiliza ndugu yangu, Unataka kuhalalisha kosa kwa kosa? Haiwezekani! Polisi ni mlinzi wa Amani na sio genge la mauaji, ndio maana hata hapa kwetu mwizi akifukuzwa ukimbilia Polisi kujisalimisha.

Polisi anapokuwa muuaji unakimbilia wapi? Lakini usisahau namna Polisi alivyokuwa mkatili kumkata pumzi mtu ambaye hana madhara(amefungwa pingu na kukandamizwa chini), Mbaya sana.
 
Mnaweza mkadai ni propaganda za wazungu kupakazia weusi lakini kama wewe ni mfuatiliaji wa habari, culture na lifestyle za weusi Marekani, kupitia shows, documentary, hata movies, hip hop na series mbalimbali ambazo zipo based on black life utakubaliana na hizi takwimu.
Yote hayo yanafahamika, na ni kweli umelewa propaganda za Wazungu! The problem unachanganya kati ya mauaji yanayofanywa na maharamia na yale yanayofanywa na vyombo vyenye wajibu wa kuzuia mauaji yasitokee!

Wale wanaoandamana hawapingi kuuawa kwa Watu Weusi bali Mauaji yanayofanywa na Polisi dhidi ya Watu Weusi huku yakichangiwa sana na social profiling!
 
Mauaji yamtu mweusi dhidi ya mtu mweusi yapo kweli yapo yapo sana ungetuekea nasababu zake hasa chancho chake nini ( nakuhakikishia wengi utawakuta nimakundi yakihalifu)

Wauaji wazungu wanaoua wazungu wengi hasa hua ni maaskari ambao ndio wanahaki yakulinda usalama waraia namali zao kwaujumla wake

Unahisi kama ikitokea anaetakiwa kulinda haki ndio mvunjaji utegemee nini

Ubaguzi wawazungu kwaweupe hauja anza leo wala jana nahautakaa uishe

Jamaa wanacholalamikia nibora wauwane wenyewe kwawenyewe kwamambo ambayo nimaugomvi yao hawatakaa wailaumu serikali

Ila chombo chasheria kinatumika dhidi yao halafu wasemeje

Walichokipanda ndio wanachokivuna leo hiii.....
 
Back
Top Bottom