nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
aisee! Mkuu coment zako zmetulia sana hvi una miaka mingap mkuu
Hata mie najiulizaga hili swali aiseeee.
aisee! Mkuu coment zako zmetulia sana hvi una miaka mingap mkuu
Nashukuru sijawahi kushiriki kwa namna yoyote ile katika huo uovu.
Hii tafiti imekaa kidesign ya dkt bana.
😛ound:Chanzo cha mwanamke kutoa mimba ni wewe mwanaume. Mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni wewe dume tamak rea. Kila kibaya kinachomuhusu mwanamke ktk mahusiano wewe mwanaume ndio mbaya. ie Kama nimeduu na wewe nikaconsv na ukakubali majukumu mi ninakichaa nikatoe hicho kiumbe, nizae alafu niolewe na mwingne kwa 7bu gani nawewe upo???? Ndio maana cku hizi tunawachakachua na mimba hatubebi mpk mlie na mizimu ya kwenu na mkituoa mkaleta za kuleta dawa mnaijua. :biggrin1:
^^
Mmmmm
^^
^^
Ha ha kumbe we na Nyerere ni wababe wa Wagriki, maana hata Nyerere alimpa msukosuko Mgiriki mpaka akatimka na hakuwahi kurudi Tz
^^
^^
Mmmmm
^^
ewaaa! Hapo hapo mm nakuwa mfuatiliaji wa mjadala wenu na huyo bibie. Hahahaaaaa
Hata mie najiulizaga hili swali aiseeee.
nataman sana kumuona live huyu jamaa. Nafkir katulia sana hebu changamkia fursa hyo bibie
^^
Kiasi, we je?
^^
nataman sana kumuona live huyu jamaa. Nafkir katulia sana hebu changamkia fursa hyo bibie
^^
Nitakusemea kwa Christine
^^