No research no right to speakMkuu hizi takwimu ni za taasisi gani ya utafiti?
Halafu iweje hizo asilimia jumla yake izidi 100% ?
Daaaah kwa hiyo probability kama mke wangu alitoa mimba kabla sijakuwa nae ni 9/10?Mweeeh hii inauma sana jamani kama ni kweli?
By the way ni njia ipi ya kitafiti uliifanya kuhitimisha haya uliyo andika hapa?
Wanawake karibu 90% wametoa mimba,
40% wamezaa kabla ya ndoa,wanaume,
40% wamezaa nje ya ndoa zao,
80% wana watoto nje ya ndoa.
Wanawake ni waaminifu kwenye ndoa kuliko wanaume.
Hii ni fact number 1. Vizazi vilishachokonolewa sana hadi kufikia ndoa ni screpa. Mungu atusamehe bure na kutuonea huruma sie waja wake.Tatizo kubwa la wanawake kutokuzaa wakiwa kwenye ndoa moja ya sababu kubwa ni hii kwenye usichana wao walitoa mimba kadhaa, refer to Commando Jide.
^^
Ewe mrembo wa masika,
Kiumbe unaesifika,
Mwendo wako wa maringo,
Kiuno chako mviringo,
aaaa!
Leo ni siku yakoo,
Tuonyeshe uzuri wakoo,
Halaiki yote macho kwakoo,
Tuna hamu na huba zakoo,
aaa
Ndogo ndogo!
Wewe si kidogo!
Ndogo ndogo!
Akili yako i makini..."
(wimbo uliimbwa na Fundi Konde,lakini ulirudiwa baadae na Fadhili William ktk Bendi ya Them Mushrooms)
^^
^^
Sorry kwa kukuharibia thread !!
Lakini usisahau upole wa njiwa ulimuokoa na ulimbo wa mtegaji.
^^
Nyani amucheka mwenzie kundule!!!!!!!!!!!!
hapa mkuu ni hesabu tu inakusumbua, kama kuna mimba7 za nje ya ndoa ujue wanawake 7 wamezaa nje ya ndoa pia wakati huo huo wanaume saba wamezaa nje ya ndoa!
kama kuna wana wake 8 wametoa mimba ujue wanaume 8 mimba walizojaza wanawake zimetolewa! kama kuna wanawake 20 wanauza ujue kuna midume zaidi ya ishirini imeuziwa k!
sasa jiulize hilo swali kinyume chake wanaume ni waminifu?
Mungu atusamehe na Don't judge us sana jamani,zaidi sana hamtusaidii ,mnatukumbusha maumivu tu,EVERYTHING HAPPENS FOR A REASON....LIFE IS NOT ALWAYS EASY,maamuzi magumu yanakukuta smtym,
(now aliye mtakatifu aninyoshee vidole#najihami mapema kabisa hapa)
Inasikitisha sana....
Hata wewe mwanaume ukikumbuka kuwa ulikuwa chanzo cha kutoa mimba, ama chanzo cha kuleta mtoto nje ya ndoa, kumpa binti wa watu majukumu mengi, inauma na kusikitisha...
Wanawake wengi wanaozalishwa kabla ya ndoa wanachukua majukumu makubwa sana ya malezi. Mungu anirehemu nilee wanangu..
Umesema kweli, aliye msafi anyooshe kidole....
Na dhambi hii inazihusianisha pande mbili...