90% wanawake wametoa mimba

90% wanawake wametoa mimba

😛ound:Chanzo cha mwanamke kutoa mimba ni wewe mwanaume. Mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni wewe dume tamak rea. Kila kibaya kinachomuhusu mwanamke ktk mahusiano wewe mwanaume ndio mbaya. ie Kama nimeduu na wewe nikaconsv na ukakubali majukumu mi ninakichaa nikatoe hicho kiumbe, nizae alafu niolewe na mwingne kwa 7bu gani nawewe upo???? Ndio maana cku hizi tunawachakachua na mimba hatubebi mpk mlie na mizimu ya kwenu na mkituoa mkaleta za kuleta dawa mnaijua. :biggrin1:
 
Hizo mimba zilizotolewa na zilizozaliwa zimesababishwa na nani
 
Kuna ka ukweli ila takwimu ndio matata.
Ila waloshusha ni wengi wengi kwa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
mie sipooo huko..kwahiyo sina uwakika na utafiti huu...
 
naam mkuu! Nacheka sana kila naposoma koment zako.......znakuwa zmetulia sana......naona kama saikolojia ipo sana au busara za utu uzima

^^
Ujue kila nikitazama id yako nakumbuka kile kisa cha Mgirik na Mwl Nyerere kuhusu rushwa,
Btw
Mi sio mkubwa wala mdogo wala mwanasaikolojia bali rejea signature yangu.
^^
 
^^
Ujue kila nikitazama id yako nakumbuka kile kisa cha Mgirik na Mwl Nyerere kuhusu rushwa,
Btw
Mi sio mkubwa wala mdogo wala mwanasaikolojia bali rejea signature yangu.
^^

hahahaaa! Kwahyo unafikir na mm n mla rushwa?
 
Wanawake karibu 90% wametoa mimba,

40% wamezaa kabla ya ndoa,wanaume,

40% wamezaa nje ya ndoa zao,

80% wana watoto nje ya ndoa.

Wanawake ni waaminifu kwenye ndoa kuliko wanaume.

Huu sio utafiti kwasababu muandishi anaonekana amekurupuka tu
Hivyo haya ni maoni yake

And opinion is like ass everybody has ...............!!!!!!!!
 
Kijiji
Mji
Jiji
Wilaya
Kimkoa
Kitaifa
Kimataifa
Kiulimwengu???
 
^^
Haaa hapana, nawaza tu uliwaza nini au upo Greece?
^^

hahahaaa! Hapana npo hapa hapa ila kuna kisa flani niliwahi kuwafanyia hao watu kwahyo mtaa mzima wakawa ananiita kiboko ya wagirik
 
hahahaaa! Hapana npo hapa hapa ila kuna kisa flani niliwahi kuwafanyia hao watu kwahyo mtaa mzima wakawa ananiita kiboko ya wagirik

^^
Ha ha kumbe we na Nyerere ni wababe wa Wagriki, maana hata Nyerere alimpa msukosuko Mgiriki mpaka akatimka na hakuwahi kurudi Tz
^^
 
Back
Top Bottom