nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
^^
Si unakumbuka ilivo ngumu kutekeleza hekima alizosema ktk wimbo huo,
mf ubeti huu..
"..Jamani siku hizi mapenzi yameongopewa,
Siku hizi mapenzi yamekufa,
Mama yangu aliolewa kwa panga na mkuki, lakini wasichana wa Darisalama,
wanataka pesaaa,
Siku hizi kupenda tunaogopa, hata kutongoza tunaogopa,
...
^^
Daaaaaa... sasa kwanini umeukumbuka huu mwimbo muda huu?