ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,443
- 119,028
japo hawatasema hapa,ila miyoni kila mtu anajua,..na wanaume wengine anakupa live kabisa,hataki kutumia condom,kuna jamaa mmoja ilidibi tuachane kw sbb hyo,ukimuuliza wt if i get pregnant,anakujibu,u will abort,ntakupa hela,SERIOUSLY???!!..NOT ANYMORE,
Kweli kabisa....
mwanamke akitoa mimba maana yake alompa anahusika pia... tena wanaume ndo hupenda kwenda kavukavu, then wanakuja kuwananga dada zetu....