9 Most racist Countries in the World

Mi naona list ya mtoa mada imebase kwenye ubaguzi wa dini na ukabila ila sio ubaguzi wa rangi
 
Yani katika hii list kuikosa Italy,USA,China.
List haina maana pia kuikosa Spain na Israel hii list haimeki sensi
Bro bora hizo nchi , usibishe India ina ubaguz hatar usiombe mkuu , nchi kama Italy , USA na China wananchi ni wabaguzi ila serikali zao zinaweza kukulinda ila India aliwai kufa mtu kituo cha polisi , anapigwa kwasabab alibaguliwa na raia akawajibu kwann mnanibagua sisi sote ni sawa , so sad mkuu
 
Kama Italy haipo hii list ni BATILI.
Ubaguz unazidiana , nenda india ukajionee , sio serikali sio wananchi ,yaan hata kuna baadhi ya haki zako unaeza zikosa kisa ww mweusi , wazungu wana aibu muda mwingine
 
... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?
Hujaeleweka mkuu
 
Waarabu ni nyoko usibishe , wazungu ni wabaguzi ila wana aibu fulan hv , ila muarabu anaeza kukubagua hata kwenu
 
Ubaguz unazidiana , nenda india ukajionee , sio serikali sio wananchi ,yaan hata kuna baadhi ya haki zako unaeza zikosa kisa ww mweusi , wazungu wana aibu muda mwingine
Mkuu India mji gani wenye ubaguzi wa kiwango hiko?? Ulikuwa Kolkata au sio??
 
Waislamu wengi wanatetea waarabu kwa kigezo cha dini ila ukweli hawaujui , wazungu na waarabu wote ni wabaguzi ila muarabu na muhindi ni level nyingine kbs kama hujawai ishi india huezi elewa
 
... ukiacha hilo la ubaguzi wa wahindi ambalo unadai ni jadi yao; what is your standing? Unakubaliana au hukubaliani na matokeo ya utafiti unaojadiliwa hapa?
Utafit ni wa kweli
 
Sio kweli, hata msikiti mkuu wa Makka moja wa maimamu yupo mweusi tii.
Mbona marekani imewa ongozwa na rais mweusi , je tuseme usa hakuna ubaguz ? Kuna hoja hupaswi kutumia kuhararisha mambo
 
Hata na mimi nashangaa mbona wameweka nchi za Asia na North Africa tu hakuna America wala Eastern Europe?

Egypt haipaswi kuwa kwenye list kwa kweli wale wamechanganyika sana hata hao waarabu weupe ni wachache kuliko hao mchanganyiko.
Sudan , mwanamke mwanamitindo ameandamwa kwa kuolewa na mwaume mweusi
 
Dini zimewakaa. Kwa wahindi ni Uhindu "Hinduism", na kwa waarabu Uislamu "Islamism".

Wengine ni Wayahudi na dini yao ya Judaism, ambao wameteka mshirika.ya habari wasiandikwe vibaya.

Ingependeza kuangalia dini na ubaguzi wa rangi.
So tbc imetekwa kumbe [emoji3][emoji3]
 
Hapa muhanga mkuu wa haya makitu ni mutu mweusi
Not necessarily bro. Kuna mifano kadhaa. Ukiangalia hizo nchi hapo juu, nyingi ni za Kiarabu, ukiachilia mbali India, Philippines na Afrika kusini.
  • Wahindi wanabaguana wao kwa wao kwanza, kabla ubaguzi haujaenda kwa wageni (upper cast vr lower cast)
  • Lebanon, kuna wanaojiona wana uzungu kuliko uarabu
  • Waarabu wao kwa wao wanabaguana sana
 
Mbona marekani imewa ongozwa na rais mweusi , je tuseme usa hakuna ubaguz ? Kuna hoja hupaswi kutumia kuhararisha mambo
USA hakuna kiwango kikubwa cha Ubaguzi ukilinganisha na Ulaya hasa Ulaya ya magharibi.
 
Yani katika hii list kuikosa Italy,USA,China.
List haina maana pia kuikosa Spain na Israel hii list haimeki sensi
USA itoe hatakama ubaguz upo lakin nawezasema hii ndo nchi pekee ambayo mablack wanainjoy nakujitengenezea ufalme kabisa hv unawezaenda india ukakuta mweusi anaumaarufu flan nakuheshimiwa! Achia mbali huko kwa waarabu
 
Hakuna nchi ya argentina wala urusi, italia na ukraine?
Argentina ndiyo nchi mbaya sana kwa ubaguzi wa rangi. Katika nchi za bara la america ya kusini, ni nchi iliyokuwa inaongoza kwa kuwa na weusi wengi. Lakini karne ya 19-20 walianzisha mipango ya kishetani kuua weusi kwa kutumia chanjo, vifungo vya maisha etc...mpaka kizazi chote cha weusi kikapotea.

Na ndiyo sababu hata sasa timu zote za kitaifa za soka za america ya kaskazini na kusini utakuta kuna weusi lakini huoni mtu mweusi katika timu ya taifa ya agentina.
 
Waliobahatika kwenda uarabuni kama watumwa walihasiwa. Pia kulikuwa sheria kali sana kwa mwanamke wa kiarabu kumsogelea mtu mweusi na huenda kama ilitokea kwa bahati mbaya akazaliwa mtoto mweusi baina mwarabu na mweusi basi yule mtoto aliuliwa.
Aiseeeee? [emoji134][emoji144][emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…