+81 3-6277-7455 Namba gani hii?

Hiyo ni namba ya Japani na hiyo inayofuata ni eria code CITY ya KUMAMOTO.
title_kumamoto.jpg
K moto moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wape polisi namba hiyo huwenda ni wale watu wanaoshikilia ndege yetu huko nje wanataka kukuambia habari za deni.
 
Mkuu kuwa makini sana, yaweza kuwa mbongo tu kaamua kukusumbua

Kuna App moja inaitwa Primo inampa uwezo msumbufu yoyote kutengeneza namba ya nnchi anayo taka.

Akili ku mkichwaaa
 
Ni matapeli hao, mimi huwa wananipigia simu, kuhusu magari, crdt card yangu imeshinda gari
Nipo heee ikabidi nishangae kiswahili swahili,

Wanapiga si chin ya mara moja naona wanamtandao wao

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Yah!! Everyone like KUMAMOTO.
Yah!! Everyone like KUMAMOTO.
Hizo namba za tiss unataka kuteuuliwa kuwa waziri wa nishati
Kumamoto nzur sana
Ibhi8hiv7v
Cvbhgfghjbjkdgnifv
Wape polisi namba hiyo huwenda ni wale watu wanaoshikilia ndege yetu huko nje wanataka kukuambia habari za deni.
ni mawakala wa CIA wanafanya ufukunyuku kwa watu haswa wenye majina yenye utata
Mleta Mada pole, Watanzania naona wamechanganyikiwa, Magu achia kidogo mtaani vichwa vimeharibika
 
Ni matapeli hao, mimi huwa wananipigia simu, kuhusu magari, crdt card yangu imeshinda gari
Nipo heee ikabidi nishangae kiswahili swahili,

Wanapiga si chin ya mara moja naona wanamtandao wao

In ua Presence Jesus is where I belong
Dada divine mzima???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom