6 UDSM students died in taqwa bus accident

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Nimepata hbr ya kuaminika ya ajali ya TAQWA BUS SERVICE kupata ajali mbaya jana 19/11/2011 ya kugongana uso kwa uso na gari la Bahresa aina ya Volvo New model maeneo ya boda ya Runzewe na hii boda ipo mpk mwa Uganda na Rwanda na kwa taarifa nilizonazo toka kwa aliyeshuhudia ajali anasema ya kwamba around watu 15 wamepoteza maisha hapo hapo na kwa upande wa gari la Bahresa hakuna hata mtu mmoja aliyetoka imenisikitisha sana kwa jamaa ameniambia kabla ya ile ajali aliwashudia ndg ze2 Watanzania wengi waliokuwa kwenye lile basi. Amesema hali ilikuwa siyo kwani baada ya kusikika kwmb imetokea ajali yeye alirudi mpk kwny tukio lakini alishindwa kuvumilia na akakimbia mpk alipopaki gari na kuendelea na safari lakini aliacha hali siyo yenyewe. Rest In Peace wote waliofikikwa na mauti na majeruhi MUNGU awajaze nguvu na mpone mapema. SOURCE : Kwa aliyeshuhudia ajali!
 
Innalillah wainailaih rajiuun,
Neno TAQWA ni neno zito ktk imani ya ini ya kiislamu lenye maana ya 'kumcha Mungu', sasa sijui bus la Taqwa lilikuwa likiendeshwa na dereva asiyekuwa mcha Mungu ama sijui ni vipi...?
Ila madereva wa mabasi hawachukulii kuwa wamebeba abiria, ni wanajiendeshea tu mabasi na kukimbiza hovyo pasipokuwa na tahadhari hata za overtaking.
 
oooooh maskini!

Mungu awarehemu na kuwapa nguvu wanafamilia waliowaaacha
 
Maskiniii..!!!
Pole kwa wote waliopoteza ndugu na jamaa zao, Mungu awaponye majeruhi na awape nyoyo za ustahimilivu wote waliopotelewa.
 
Kenya, Uganda mabasi yanasafiri 24 hrs hawana ajali za mara kwa mara compared to TZ inshu c kuendesha usiku bali kuzingatia sheria za usalama barabarani, tz madereva wetu bado sana!
 
hawa bila shaka ni vijana waliokuwa na ndoto na mipango kadhaa maishani, wataalamu wa hisabati ambao wangekuwa msaada mkubwa kwa nchi zao, wamekwenda na ndoto zao na maono yao kwa uzembe wa mtu fulani, its painful. R.I.P. its the only we can say, what about those behind this loss?
 
Six Masters of Science in Mathematical Modelling 2nd year Students with UDSM are among 18 people perished in yesterday's accident occured at Lusaunga, Biharamulo.
visit www.bongopicha.blogspot.com for details.

Mungu awalaze mahala pema peponi, amina.
 
Back
Top Bottom