6 UDSM students died in taqwa bus accident

...sasa sijui bus la Taqwa lilikuwa likiendeshwa na dereva asiyekuwa mcha Mungu ama sijui ni vipi...?
Dereva wa Bakhressa mbona humhusishi?

Anyhow, hakuna mwenye kosa, kazi ya Mungu haina makosa.

Tuliwapenda sana lakini Bwana amewapenda zaidi. Mungu ameumba, Mungu ameua. Jina lake lihimidiwe.
 
huu ujinga wa 'kazi ya Mungu' ndio hatuutaki. Mambo mengine yanaepukika, nyie mwasema kazi ya mungu? Kwanini kazi ya MUNGU huko Japan inawafanya wafike miaka 80, halafu kazi ya MUNGU Tanganyika watoto wafe chini ya miaka 5? Jipange mzazi!
 
Innalillah wainailaih rajiuun,
Neno TAQWA ni neno zito ktk imani ya ini ya kiislamu lenye maana ya 'kumcha Mungu', sasa sijui bus la Taqwa lilikuwa likiendeshwa na dereva asiyekuwa mcha Mungu ama sijui ni vipi...?
Ila madereva wa mabasi hawachukulii kuwa wamebeba abiria, ni wanajiendeshea tu mabasi na kukimbiza hovyo pasipokuwa na tahadhari hata za overtaking.

Duh! Niaje kaka? Long time no see...
 
Nimepata hbr ya kuaminika ya ajali ya TAQWA BUS SERVICE kupata ajali mbaya jana 19/11/2011 ya kugongana uso kwa uso na gari la Bahresa aina ya Volvo New model maeneo ya boda ya Runzewe na hii boda ipo mpk mwa Uganda na Rwanda na kwa taarifa nilizonazo toka kwa aliyeshuhudia ajali anasema ya kwamba around watu 15 wamepoteza maisha hapo hapo na kwa upande wa gari la Bahresa hakuna hata mtu mmoja aliyetoka imenisikitisha sana kwa jamaa ameniambia kabla ya ile ajali aliwashudia ndg ze2 Watanzania wengi waliokuwa kwenye lile basi. Amesema hali ilikuwa siyo kwani baada ya kusikika kwmb imetokea ajali yeye alirudi mpk kwny tukio lakini alishindwa kuvumilia na akakimbia mpk alipopaki gari na kuendelea na safari lakini aliacha hali siyo yenyewe. Rest In Peace wote waliofikikwa na mauti na majeruhi MUNGU awajaze nguvu na mpone mapema. SOURCE : Kwa aliyeshuhudia ajali!

runzewe iko bukombe na wewe unasema mpakani mwa uganda na rwanda na tena ni boda vipi mkuu mwambie akujuze vizuri sawa..

poleni wote waanga wa ajali..
 
Kifo kimepangwa na mungu,dreva wa ile bus anaitwa Sultan Mohammed ni ni Uncle wangu mimi,na nyuma ya siti yake alikuwa amekaa mama yangu mkubwa ambae yeye ni dada yake,akiwa pamoja na mke wa mjomba wangu ambae dreva anakuwa ni mke wa kaka yake,pamoja na dada yangu ambae yeye drive ni uncle wake mtoto wa dada yake,na wote wamekufa pale pale,
Sasa kama hakuthamini roho za watu hata yake? Hata hawa ndugu zake? Ajali ni mipango ya mungu,kama kuna family ambayo imepata pigo kubwa katika hiyo ajali basi na family yetu,ambae dreva wa bus akiwemo,inauma sana lakini tunamshukuru mungu hatuna hilla kwa hilo,na mungu atawalaza pema mote waliopoteza maisha
 
kati ya hao sita kunawengine hata mashahara alikuwa ajaujua gone to soon young students..

RIP ALL
 
Kifo kimepangwa na mungu,dreva wa ile bus anaitwa Sultan Mohammed ni ni Uncle wangu mimi,na nyuma ya siti yake alikuwa amekaa mama yangu mkubwa ambae yeye ni dada yake,akiwa pamoja na mke wa mjomba wangu ambae dreva anakuwa ni mke wa kaka yake,pamoja na dada yangu ambae yeye drive ni uncle wake mtoto wa dada yake,na wote wamekufa pale pale,
Sasa kama hakuthamini roho za watu hata yake? Hata hawa ndugu zake? Ajali ni mipango ya mungu,kama kuna family ambayo imepata pigo kubwa katika hiyo ajali basi na family yetu,ambae dreva wa bus akiwemo,inauma sana lakini tunamshukuru mungu hatuna hilla kwa hilo,na mungu atawalaza pema mote waliopoteza maisha

pole kaka, sisemi neno zaidi.
 
Hivi hakuna namna ya kufungua mashtaka dhidi ya mmliki wa hilo bus? Lazima bus litakuwa na matatizo au dereva hakuwa na sifa. Nadhani ifike mahali sasa tuanze kushitiaki wamiliki wa hivi vyombo vya usafiri na hata ikiwezekana mamlaka za usimamizi pia.
 
runzewe iko bukombe na wewe unasema mpakani mwa uganda na rwanda na tena ni boda vipi mkuu mwambie akujuze vizuri sawa..

poleni wote waanga wa ajali..

Mkubwa! Labda alivyokuwa ananijuza kapoteza hata kumbukumbu,Tuwe pamoja Mkubwa wangu!
 
Kifo kimepangwa na mungu,dreva wa ile bus anaitwa Sultan Mohammed ni ni Uncle wangu mimi,na nyuma ya siti yake alikuwa amekaa mama yangu mkubwa ambae yeye ni dada yake,akiwa pamoja na mke wa mjomba wangu ambae dreva anakuwa ni mke wa kaka yake,pamoja na dada yangu ambae yeye drive ni uncle wake mtoto wa dada yake,na wote wamekufa pale pale,
Sasa kama hakuthamini roho za watu hata yake? Hata hawa ndugu zake? Ajali ni mipango ya mungu,kama kuna family ambayo imepata pigo kubwa katika hiyo ajali basi na family yetu,ambae dreva wa bus akiwemo,inauma sana lakini tunamshukuru mungu hatuna hilla kwa hilo,na mungu atawalaza pema mote waliopoteza maisha

Poleni sana Mkuu wangu!
 
Poleni sana my Varsity mets, Mungu awafariji familia, ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu

inasikitisha sana

Amen
 
Kifo kimepangwa na mungu,dreva wa ile bus anaitwa Sultan Mohammed ni ni Uncle wangu mimi,na nyuma ya siti yake alikuwa amekaa mama yangu mkubwa ambae yeye ni dada yake,akiwa pamoja na mke wa mjomba wangu ambae dreva anakuwa ni mke wa kaka yake,pamoja na dada yangu ambae yeye drive ni uncle wake mtoto wa dada yake,na wote wamekufa pale pale,
Sasa kama hakuthamini roho za watu hata yake? Hata hawa ndugu zake? Ajali ni mipango ya mungu,kama kuna family ambayo imepata pigo kubwa katika hiyo ajali basi na family yetu,ambae dreva wa bus akiwemo,inauma sana lakini tunamshukuru mungu hatuna hilla kwa hilo,na mungu atawalaza pema mote waliopoteza maisha

pole sana ndugu yangu,Mungu awape faraja ya kweli katika mapito haya magumu katika maisha,
 
aisee pole sana ndugu yangu na watanzania wote waliopoteza ndugu zao
mm siku zote na ndivo ilivo Mungu hata siku moja hasababishi ajali wala hana nia kama hiyo
sisi wenyewe ndio tunajimaliza kwa ukaidi wetu, kiburi chetu au kwa mwongozo wa yule mwovu ambae ndio mtawala wa dunia hii
Kama mwakumbuka Ibilisi alipomjaribu Yesu amsujudie atampa milki yote ya dunia
lazima ktk hii ajali kuna uzembe aidha wa dereva wa lory au basi lenyewe na kwa kutozingatia sheria za usalama barabarani
Tusimweke Mungu ktk hali kuwa ndio mpangaji hapana ndugu. zaidi kwa sasa tuwaombee wapate punziko jema
Kifo kimepangwa na mungu,dreva wa ile bus anaitwa Sultan Mohammed ni ni Uncle wangu mimi,na nyuma ya siti yake alikuwa amekaa mama yangu mkubwa ambae yeye ni dada yake,akiwa pamoja na mke wa mjomba wangu ambae dreva anakuwa ni mke wa kaka yake,pamoja na dada yangu ambae yeye drive ni uncle wake mtoto wa dada yake,na wote wamekufa pale pale,
Sasa kama hakuthamini roho za watu hata yake? Hata hawa ndugu zake? Ajali ni mipango ya mungu,kama kuna family ambayo imepata pigo kubwa katika hiyo ajali basi na family yetu,ambae dreva wa bus akiwemo,inauma sana lakini tunamshukuru mungu hatuna hilla kwa hilo,na mungu atawalaza pema mote waliopoteza maisha
 
Kwanini kazi ya MUNGU huko Japan inawafanya wafike miaka 80, halafu kazi ya MUNGU Tanganyika watoto wafe chini ya miaka 5?
Kwa sababu kazi ya Mungu haifanani kila mahala. Kazi ya Mungu Japan ni kuwapiga na matetemeko ya ardhi. Sisi hapa ni kutuua na ajali. Siku yako ya kufa Mungu ndio anaijua na Mungu ndio anapanga yote. Wameenda kupumzika na Bwana. Tuliwapenda lakini Mungu amewapenda zaidi. Bwana ametoa, Bwana ameua.

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Back
Top Bottom