Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
Kwa sababu kazi ya Mungu haifanani kila mahala. Kazi ya Mungu Japan ni kuwapiga na matetemeko ya ardhi. Sisi hapa ni kutuua na ajali. Siku yako ya kufa Mungu ndio anaijua na Mungu ndio anapanga yote. Wameenda kupumzika na Bwana. Tuliwapenda lakini Mungu amewapenda zaidi. Bwana ametoa, Bwana ameua.
Kazi ya Mungu haina makosa.
Bwana ametoa na Bwana ameua eee!
Wakae tu na fikira za "kazi ya Mungu" waone kama nchi itapata maendeleo hata chembe